Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
CCM haijawahi kua tatizo, tatizo kubwaa la nchi hii ni wananchi wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii biashara ina wakubwa ndani yake, mwamba atachomokaAnajitafuta..hongera sana.
Dunia ni uwanja wa mapambano.
Ukikaa kizembe mafanikio utayasikia tu.
Pesa haiji kizembe zembe
Ajali kazini
Mfumo ovuCCM haijawahi kua tatizo, tatizo kubwaa la nchi hii ni wananchi wenyewe
Walezi wakuu wa hii mifumo ni sisi wananchi na maana watu wenye akili wameamua kukaa pembeni siasa wameachiwa wapumbavuMfumo ovu
Hawa ndiyo hawana akili mkuu, utakaaje pembeni badala ya kuipigania nchi yako na vizazi vyako?Walezi wakuu wa hii mifumo ni sisi wananchi na maana watu wenye akili wameamua kukaa pembeni siasa wameachiwa wapumbavu
Ni hao haoHawa ni waethiopia not wasomali
Hapana kwa Kina Kinana ni Somalia na siyo EthiopiaNi hao hao
Mm sio exceptional kwa nchi hii, kama unatetea maslahi ya taifa kwa manufaaa ya wengi lakn hao wengi ndo wanatumika na wasiasa kukushambulia ya nn nijitese mwisho wa siku kama haiathiri mazingira yangu ya utafutaji unaachana nayoHawa ndiyo hawana akili mkuu, utakaaje pembeni badala ya kuipigania nchi yako na vizazi vyako?
Haya ni matokeo ya ikulu kuwa na muhuni inasababisha nidhamu kushuka kitaifa Samia hafai kuongoza hata inziNimesoma nikacheka, kinachonichekesha ni kwa namna mwandishi wa Ayo alivyowakwepesha CCM kwenye hii taarifa. Mara nyingi sana tumesema hii hulka ya CCM kuficha na kushabikia haya mambo na wamekua wakikataa. Waliwahi kumkataa hata yule shujaa aliyeuwawa na Polisi kuwa hakua Mjumbe wa CCM, yule waliyempachika jina la gaidi.
leo hii kakamatwa Mwana CCM akiwa tena na gari ya 2023 akiwa amebeba vipusa (wahamiaji haramu) kama kawaida, taarifa imekua twisted. CCM hebu jirekebisheni.
watu kama hawa ndio kutwa kuchwa wanasifia "Mama anaupiga mwingi" ili kuficha maovu yao...... hili lingetokea kwa CHADEMA lingeripotiwaje?
View attachment 2943998
Itakuja kuathiri wanao au wajuu, muhimu ni kupambana na huo mfumo ovuMm sio exceptional kwa nchi hii, kama unatetea maslahi ya taifa kwa manufaaa ya wengi lakn hao wengi ndo wanatumika na wasiasa kukushambulia ya nn nijitese mwisho wa siku kama haiathiri mazingira yangu ya utafutaji unaachana nayo
Well saidHaya ni matokeo ya ikulu kuwa na muhuni inasababisha nidhamu kushuka kitaifa Samia hafai kuongoza hata inzi
1980s gari za Chama zilitumiwa sana na akina Aligeje kubeba meno ya Tembo pale Iringa 🐼😂😂Nimesoma nikacheka, kinachonichekesha ni kwa namna mwandishi wa Ayo alivyowakwepesha CCM kwenye hii taarifa. Mara nyingi sana tumesema hii hulka ya CCM kuficha na kushabikia haya mambo na wamekua wakikataa. Waliwahi kumkataa hata yule shujaa aliyeuwawa na Polisi kuwa hakua Mjumbe wa CCM, yule waliyempachika jina la gaidi.
leo hii kakamatwa Mwana CCM akiwa tena na gari ya 2023 akiwa amebeba vipusa (wahamiaji haramu) kama kawaida, taarifa imekua twisted. CCM hebu jirekebisheni.
watu kama hawa ndio kutwa kuchwa wanasifia "Mama anaupiga mwingi" ili kuficha maovu yao...... hili lingetokea kwa CHADEMA lingeripotiwaje?
View attachment 2943998
Ndio hao haoNaomba isomeke Ethiopia na sio Somalia ContentCreator Moderator
unaelewa masuala ya wahalifu kuvaa sura mbalimbali ni kawaaida🐒Nimesoma nikacheka, kinachonichekesha ni kwa namna mwandishi wa Ayo alivyowakwepesha CCM kwenye hii taarifa. Mara nyingi sana tumesema hii hulka ya CCM kuficha na kushabikia haya mambo na wamekua wakikataa. Waliwahi kumkataa hata yule shujaa aliyeuwawa na Polisi kuwa hakua Mjumbe wa CCM, yule waliyempachika jina la gaidi.
leo hii kakamatwa Mwana CCM akiwa tena na gari ya 2023 akiwa amebeba vipusa (wahamiaji haramu) kama kawaida, taarifa imekua twisted. CCM hebu jirekebisheni.
watu kama hawa ndio kutwa kuchwa wanasifia "Mama anaupiga mwingi" ili kuficha maovu yao...... hili lingetokea kwa CHADEMA lingeripotiwaje?
View attachment 2943998
Mshangao,Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma anashikiliwa na Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kusafirisha kinyume na sheria Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia.
Akiongea na AyoTV Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Manyara ACP Lucas Mwakatundu amesema tukio hilo limetokea March 23 2024 ambapo gari hilo limekamatwa katika kizuizi barabara ya Arusha Babati eneo la Minjingu likiwa na Wahamiaji ishirini Raia wa Ethiopia kwenye gari namba T.774 BDL Land Cruiser likiwa na bendera ya Chama cha Mapinduzi CCM.
“Gari hili V8 lilikuwa na Bendera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na kwenye upekuzi tulipoona sura tofauti na Watanzania ilibidi tuweke gari pembeni na baadae kuwashusha tukakuta wapo Wahamiaji 20 kwenye gari V8 na wote uelekeo wao ni kusini mwa Afrika wakitokea usawa wa Arusha, Dereva wa gari hili ni Mkazi wa Dodoma tunamshikilia mpaka sasa na kesho tunatarajia kuwakabidhi Uhamiaji” ——— kaimu RPC Manyara. #MillardAyoUPDATES
View attachment 2943836
Kuna siku niliweka uzi watu wengi wanaofanya biashara haramu wako ccm ili kukamilisha biashara zao haramuMtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma anashikiliwa na Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kusafirisha kinyume na sheria Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia.
Akiongea Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Manyara ACP Lucas Mwakatundu amesema tukio hilo limetokea March 23 2024 ambapo gari hilo limekamatwa katika kizuizi barabara ya Arusha Babati eneo la Minjingu likiwa na Wahamiaji ishirini Raia wa Ethiopia kwenye gari namba T.774 BDL Land Cruiser likiwa na bendera ya Chama cha Mapinduzi CCM.
“Gari hili V8 lilikuwa na Bendera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na kwenye upekuzi tulipoona sura tofauti na Watanzania ilibidi tuweke gari pembeni na baadae kuwashusha tukakuta wapo Wahamiaji 20 kwenye gari V8 na wote uelekeo wao ni kusini mwa Afrika wakitokea usawa wa Arusha, Dereva wa gari hili ni Mkazi wa Dodoma tunamshikilia mpaka sasa na kesho tunatarajia kuwakabidhi Uhamiaji”
Chanzo: Ayo TV
imagine ingekua ni gari ya CHADEMA, ungeweza kuandika hivi hivi? Ungesikia kesho msajili wa Vyama ametoa barua kwa CHADEMA kujieleza.hao ni wahalifu na waovu waliojivika sura ya wema na fadhila ya CCM ili kufanikisha ubaya wao.
Hilo haliwezi kuiyumbisha CCM,
wahalifu hao watawajibika kwa mauvu yao kwa mujibu wa sheria na CCM inasonga mbele 🐒