Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

Holili Moshi Kia Arusha .......
Namanga Longido Ngaramtoni Kisongo......
Arusha Duka Mbovu Nanja Makuyuni.....

Tunduma Tunduma Tunduma

Mbelekwambelee Kichaka cha UHALIFU
 
naomba kuuliza kwa nini hawa wa ethiopian mara zote huwa wanakamatwa wakielekea south Africa na siyo kwingineko...?kuna siri ipi uko south Africa
 
Nimesoma nikacheka, kinachonichekesha ni kwa namna mwandishi wa Ayo alivyowakwepesha CCM kwenye hii taarifa. Mara nyingi sana tumesema hii hulka ya CCM kuficha na kushabikia haya mambo na wamekua wakikataa. Waliwahi kumkataa hata yule shujaa aliyeuwawa na Polisi kuwa hakua Mjumbe wa CCM, yule waliyempachika jina la gaidi.

leo hii kakamatwa Mwana CCM akiwa tena na gari ya 2023 akiwa amebeba vipusa (wahamiaji haramu) kama kawaida, taarifa imekua twisted. CCM hebu jirekebisheni.

watu kama hawa ndio kutwa kuchwa wanasifia "Mama anaupiga mwingi" ili kuficha maovu yao...... hili lingetokea kwa CHADEMA lingeripotiwaje?

View attachment 2943998
Ukiwa CCM hakuna KESI itafutwa na Wasomali wataendelea na safari kwa Gari hilo hilo na Bendera hiyo hiyo ikipepea
 
Nimesoma nikacheka, kinachonichekesha ni kwa namna mwandishi wa Ayo alivyowakwepesha CCM kwenye hii taarifa. Mara nyingi sana tumesema hii hulka ya CCM kuficha na kushabikia haya mambo na wamekua wakikataa. Waliwahi kumkataa hata yule shujaa aliyeuwawa na Polisi kuwa hakua Mjumbe wa CCM, yule waliyempachika jina la gaidi.

leo hii kakamatwa Mwana CCM akiwa tena na gari ya 2023 akiwa amebeba vipusa (wahamiaji haramu) kama kawaida, taarifa imekua twisted. CCM hebu jirekebisheni.

watu kama hawa ndio kutwa kuchwa wanasifia "Mama anaupiga mwingi" ili kuficha maovu yao...... hili lingetokea kwa CHADEMA lingeripotiwaje?

View attachment 2943998
Pembe la ng'ombe
 
Back
Top Bottom