Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

Hawa jamaa wa ethiopia hawajielewi , kwanini wasingekuwa wanasafiri wawili wawili kutumia mabasi mpk tunduma au kasumulu? Nasafiri sana ila sioni mabasi ya nyanda za juu kusini yakikaguliwa njiani kuangalia utaifa wa abiria.

Wanyasa wengi wanasafiri kutoka kyela kuja Dar bila ya vizuizi vyovyote njiani.
 
imagine ingekua ni gari ya CHADEMA, ungeweza kuandika hivi hivi? Ungesikia kesho msajili wa Vyama ametoa barua kwa CHADEMA kujieleza.
nilichoandika ni katika ujumla πŸ’

sio tu ingekua Chadema hata ingekua CHAUMA, vyama na taasisi nyingine mbalimbali, ni kwamba uovu mwingi hivi sasa umejificha kwenye wema wa hizo taasisi au vyama, ukizubaa tu umelizwa πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…