Asali, samli, kitunguu maji ni tiba ya nguvu za kiume- mrejesho

Hata asali na kitunguu saumu pia , ukichanganya na majimoto. Lakini hakikisha asali ni halisi

kweli mkuu? maana samli sjui inapatikana wapi? ila maji moto kias gan?ilaa kitunguu swaumu na asali aseeee
 
kweli mkuu? maana samli sjui inapatikana wapi? ila maji moto kias gan?ilaa kitunguu swaumu na asali aseeee

Mkuu kama ni mkazi wa dar nenda pale kariakoo stand ya mabasi ya mwenge pale kuna maduka kibao ya miti shamba pale hukosi samli.
 
hii samli kwa kimombo ni ghee. mnakumbuka zamania ilikuwepo inaitwa super ghee. KCC ya kenya wanayo yakwao inaitwa KCC Ghee. miaka ya zamani niliwahi paka hii KCC Ghee kwenye mkate nikifikiri butter.
 
kweli mkuu? maana samli sjui inapatikana wapi? ila maji moto kias gan?ilaa kitunguu swaumu na asali aseeee

Majimoto robo lita , asali halisi vijiko 5, kijiko kidogo cha kitunguu saumu cha kusaga
 
unaweza ukaandaa pia samli peke yako kama unawezb ukapata siagi...unachukua siagi na kuichemsha kwenye jiko la mkaa kwa muda wa masaa mawili hadi matatu, usichanganye na kitu chochote..ukitaka kujua kama ipo tayari utaona siagi imebadilika kuwa na rangi safi kama mafuta ya alizeti...Hakika ni mafuta mazuri
 
Wenye shida na ASALI HALISI ya NYUKI WAKUBWA au WADOGO karibuni HONEY SPRING, kama uko DAR ES SALAAM tunakuletea mpaka ulipo kama upo MOROGORO tuna duka letu la ASALI tu.
Namba zetu ni 0683370065 au 0769129351 pia unaweza tembelea PAGE yetu na KULIKE facebook.com/honeyspring12
 
Mbona huwaambii side effect za dawa ni kuharisha?
nakumbuka ulisema umekunywa dawa ukaharisha....
kumbe dawa ndo hiyo, wanawake tutakoma vitunguu saumu vitapotea sokoni
make wayang anti wengi.
 
Majimoto robo lita , asali halisi vijiko 5, kijiko kidogo cha kitunguu saumu cha kusaga

Hii inajikamirisha kwa bidhaa hizo tatu au nayo inahitaji samli?!
Aidha ni vizuri kuwafafanulia wana JF na umma kwa ujumla, kwamba samli ni nini na siagi ni nini.. Na kwamba kati ya bidhaa hizo mbili ni ipi inatumika kuandaa dawa!
 
Kupata samli unaweza kununua butter ukaichemsha hadi mafuta yakajitenga na solid milk,au machicha then unachuja na kupata samli(ghee).ila sasa sijui kama butter ya supermarket yaweza kuwa natural.
Zamani zilikuwepo mashine tukiziita mashine za shagi,zina mfumo kama wa centrifuge ambamo maziwa huwekwa na kuwa spinned hadi yanajitenga na ile cream ambayo ndo butterfat japo inakuwa bado na kiasi cha water na solidmilk,sasa ili upate samli ile butter kwa kiswahili sijui ndo siagi inapikwa,kipindi kile tukipikia kwenye mapipa,mpaka mafuta yanapatikana then unakamua kwa kitambaa kutenganisha samli na machicha.
Localy zaidi mabibi walikua wanagandisha maziwa then wanayaweka kwenye kibuyu na kuyasuka(kuspin )kibuyu kisha watamwaga maziwa kwenye sufuria ambapo ile cream huja juu,wanaengua cream na kuipika hadi wanapata samli.
 
Hii inajikamirisha kwa bidhaa hizo tatu au nayo inahitaji samli?!
Aidha ni vizuri kuwafafanulia wana JF na umma kwa ujumla, kwamba samli ni nini na siagi ni nini.. Na kwamba kati ya bidhaa hizo mbili ni ipi inatumika kuandaa dawa!
hizo tatu zinajitosheleza kabisa.
 
Mimi sijui nilizidisha dozi! Hivi ninavyoongea mama Tulalumba ameondoka ameenda kuwasalimia wakwe ila nahisi ni kwa ajili ya muziki aliopata siku mbili mfululizo hadi akaomba poo kwa sababu nilikuwa nasimia hadi kucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…