Mimi sijui nilizidisha dozi! Hivi ninavyoongea mama Tulalumba ameondoka ameenda kuwasalimia wakwe ila nahisi ni kwa ajili ya muziki aliopata siku mbili mfululizo hadi akaomba poo kwa sababu nilikuwa nasimia hadi kucha.
samli halisia inauzwa wapi?
Nashukuru kwa mrejesho wako, vijana mlio na tatizo hilo tumieni mtafanikiwa na pengine ukiwa natatizo zaidi ya hilo ntakusaidia pia mjue babu na bibi zetu ni hadhina wanapo washauri muwasikilize kwa makini huwezi amini dawa hii alinipa bibi yangu! hata hivyo uwezo wa nguvu za kiume ni jambo muhimu sana kuweni makini kuzilinda!Habari wana jamvi!
Nimeleta mrejesho wa wa chakula tiba tuliopewa na ndugu yetu Julius Mahenya.
Nimekunywa dawa na leo jioni ndio nitamaliza dozi ila kwa hakika mabadiliko yapo makubwa,mruko wa mkoja ni mkubwa na si asubuhi tu hata mchana,alfajiri jogoo anasimama mpaka mishipa inauma,tena inapanda juu kama pembe la kifaru,alafu mwili wangu ulikuwa nikipataga uchovu mwilini nao siusikii na na sina usingizi wa hovyo kama hapo nyuma,asubuhi naamka na nguvu tofauti na zamani.
Namshuku ndugu yetu Julius Mahenya.
Wana JF mnao ni PM kwa kutaka mrejesho ili nanyi muweze kutumia nawatoa wasiwasi tumieni, najua wengi wametumia nao watotoa ushuhuda na pongezi kwa ndugu Mahinya.
Mkuu sio mimi ila ni mwana JF mwenzetu ndio alitupa hii dawa formula yake ni juice ya kitunguu maji kijiko kimoja + samli kijiko kimoja + asali mbichi kijiko kimoja unachanganya alafu unakunywa kutwa mara mbili mkuu,tena mkuu hata matatizo ya kupata choo kwa sasa sina.
Unatumia kwa Muda gani?
Habari wana jamvi!
Nimeleta mrejesho wa wa chakula tiba tuliopewa na ndugu yetu Julius Mahenya.
Nimekunywa dawa na leo jioni ndio nitamaliza dozi ila kwa hakika mabadiliko yapo makubwa,mruko wa mkoja ni mkubwa na si asubuhi tu hata mchana,alfajiri jogoo anasimama mpaka mishipa inauma,tena inapanda juu kama pembe la kifaru,alafu mwili wangu ulikuwa nikipataga uchovu mwilini nao siusikii na na sina usingizi wa hovyo kama hapo nyuma,asubuhi naamka na nguvu tofauti na zamani.
Namshuku ndugu yetu Julius Mahenya.
Wana JF mnao ni PM kwa kutaka mrejesho ili nanyi muweze kutumia nawatoa wasiwasi tumieni, najua wengi wametumia nao watotoa ushuhuda na pongezi kwa ndugu Mahinya.
Kaka samahan naomba maelezo ya samli ni ya aina gan hyo??
Bila dawa mama Ngina anaomba poo nikiongeza na dawa je?
Mwenyezi mungu kaweka mbele ya mwanadamu, Moto na Maji.. Uzima na Mauti.. Rekebisha kauli zako, uwe na hofu ya mungu.. Unaijua jana yako tu, lakini Leo yako na kesho yako huijui., ipo mikononi mwa muumba..