Asali tamu iliyomtosha Freeman Mbowe sasa anaanza kupewa Tundu Lissu

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
"Rais Samia Suluhu Hassan ananiita mdogo wangu mpaka leo. Hata alipokuja Ubelgiji mwaka jana aliwaambia wale wapambe wake 'mmemuona mdogo wangu?" - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.
..................................................................................

CCM Kila la Kheri katika kuitawala Tanzania kwa hata miaka 5000 ijayo kwani hakuna Upinzani Tanzania bali kuwa Wanafiki na Wachumia Tumbo tu.
 
Unadhani kwa kauli hiyo ndiyo kunaifanya ccm iwe ndiyo Samia
 
"Rais Samia Suluhu Hassan ananiita mdogo wangu mpaka leo. Hata alipokuja Ubelgiji mwaka jana aliwaambia wale wapambe wake 'mmemuona mdogo wangu?" - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.
..................................................................................

CCM Kila la Kheri katika kuitawala Tanzania kwa hata miaka 5000 ijayo kwani hakuna Upinzani Tanzania bali kuwa Wanafiki na Wachumia Tumbo tu.
Lissu na Samia wana historia ndefu sana. Hawakukutania Barabarani.

Wamefanya kazi Shirika moja la kimataifa la mazingira. Walikuwa wakipendana wakati wa Bunge lq Katiba Mpya.

Ndio Maana alipopigwa Risasi yule bwana alizuia watu wasimuone Lissu lakini Mama alijitosa liwalo na liwe.
 
Mtamchukia Samia hamtofanikiwa. Mlizoea siasa za mitutu na mapanga. This time hamna nafasi
CCM hatuchukiani asilani kwa sababu fursa ni nyingi na tunatesa kwa zamu humu humu Ndani ya CCM

Chuki ziko ufipa Kwenye njaa kali hadi Mbowe anakumbuka mabilioni yake!
 
"Rais Samia Suluhu Hassan ananiita mdogo wangu mpaka leo. Hata alipokuja Ubelgiji mwaka jana aliwaambia wale wapambe wake 'mmemuona mdogo wangu?" - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.
..................................................................................

CCM Kila la Kheri katika kuitawala Tanzania kwa hata miaka 5000 ijayo kwani hakuna Upinzani Tanzania bali kuwa Wanafiki na Wachumia Tumbo tu.
Wote mliozoea vya kunyonga sasa mnakumbushwa mtafutie vya kuchinja wenyewe mle vilivyo fresh,sawa sawa uvccm🤔
 
Back
Top Bottom