Asali tamu iliyomtosha Freeman Mbowe sasa anaanza kupewa Tundu Lissu

"Rais Samia Suluhu Hassan ananiita mdogo wangu mpaka leo. Hata alipokuja Ubelgiji mwaka jana aliwaambia wale wapambe wake 'mmemuona mdogo wangu?" - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.
..................................................................................

CCM Kila la Kheri katika kuitawala Tanzania kwa hata miaka 5000 ijayo kwani hakuna Upinzani Tanzania bali kuwa Wanafiki na Wachumia Tumbo tu.
Huyu kala za beberu sasa anakula za Samia.

Hii nchi ndio maana kila mtu anataka awe Rais.
 
Kulikoni hamna jipya kuwahusu wale vipenyo, si mnao?
Waliosumbua kununuliwa.awamu ile ni Mwamba na Ni Yeye

Mungu ni Mwema CCM ni Chama kikubwa sana chenye mbinu mbalimbali, hatimaye Wawili hao wameripoti kambini!
 
Chadema ni CCM , hawa wakishika nchi itakuwa worse. Hapo wamekuja kuvizia ubunge wapate ruzuku maana sasa hivi wako dhooful hali ndio hata mikutano wanafanya kwa manati hamna kitu yani so kujiunga na machawa hawana budi.
 
Waliosumbua kununuliwa.awamu ile ni Mwamba na Ni Yeye

Mungu ni Mwema CCM ni Chama kikubwa sana chenye mbinu mbalimbali, hatimaye Wawili hao wameripoti kambini!

Kwa kuhangaika huku mnakoonyesha si bure kitakuwa kimeumana. Mfanyeje sasa Yarabi?

Hatudanganyiki!

Habari ndiyo hiyo.
 
Lissu na Samia wana historia ndefu sana. Hawakukutania Barabarani.

Wamefanya kazi Shirika moja la kimataifa la mazingira. Walikuwa wakipendana wakati wa Bunge lq Katiba Mpya.

Ndio Maana alipopigwa Risasi yule bwana alizuia watu wasimuone Lissu lakini Mama alijitosa liwalo na liwe.
Katika Maelezo yako yote nimependa sana hapo uliposema kuwa Walipendana hivyo nami nimekuelewa vyema Kiongozi wangu.
 
Sema Wewe ndio hudanganyiki usiwasemee wanalamba asali tayari!
Hifadhi posts uzirejee baada ya makombora #2. Makombora #1 yalikuwa Furahisha, Tarime na Bulyaga.

Tulipo tunasubiri list of shame. Kaa mkao wa kuliwa PDF liko njiani.
 
"Rais Samia Suluhu Hassan ananiita mdogo wangu mpaka leo. Hata alipokuja Ubelgiji mwaka jana aliwaambia wale wapambe wake 'mmemuona mdogo wangu?" - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.
..................................................................................

CCM Kila la Kheri katika kuitawala Tanzania kwa hata miaka 5000 ijayo kwani hakuna Upinzani Tanzania bali kuwa Wanafiki na Wachumia Tumbo tu.
Watanzania mmeshindwa kuichukua nchi yenu? Mpaka mnawaachia Upinzani? Endeleeni kusubiri
 
Hifadhi posts uzirejee baada ya makombora #2. Makombora #1 yalikuwa Furahisha, Tarime na Bulyaga.

Tulipo tunasubiri list of shame. Kaa mkao wa kuliwa PDF liko njiani.
Tundu mwenyewe yuko ofisi ndogo ya Bunge anashughulikia mambo yake kiserikali zaidi!
 
"Rais Samia Suluhu Hassan ananiita mdogo wangu mpaka leo. Hata alipokuja Ubelgiji mwaka jana aliwaambia wale wapambe wake 'mmemuona mdogo wangu?" - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.
..................................................................................

CCM Kila la Kheri katika kuitawala Tanzania kwa hata miaka 5000 ijayo kwani hakuna Upinzani Tanzania bali kuwa Wanafiki na Wachumia Tumbo tu.
Kuna kitu gani kibaya hapo? Maana siasa ni kukosoana kwenye sera, sio bunduki
 
CCM hatuchukiani asilani kwa sababu fursa ni nyingi na tunatesa kwa zamu humu humu Ndani ya CCM

Chuki ziko ufipa Kwenye njaa kali hadi Mbowe anakumbuka mabilioni yake!
Jamani rudini ubaoni! Jiwe is no more! Lakini jiwe alikuwa na lengo la upigaji kwa vitisho! Huku china yale mabilioni nani anayafaidi!?
 
Back
Top Bottom