Asali tamu iliyomtosha Freeman Mbowe sasa anaanza kupewa Tundu Lissu

Asali tamu iliyomtosha Freeman Mbowe sasa anaanza kupewa Tundu Lissu

Siasa za ugoko zitarudi tu siku akipatikana jiwe mwingine tukiwa bado na katiba hii.
Hawa wafuasi wa siasa za ugoko watakwama zama zao zimeshakwisha.

Tanzania ni moja na tushirikiane kuijenga
 
Mkuu kama vipi kuwa mwanasiasa wa kweli tu ili uwaokoe Watanzania kama umegundua hakuna mwanasiasa wa kweli.
 
Kama kalamba tu asali kumefanya wafungwa wa kisiasa waachiwe , bc acha alambe tu ..kama kulamba asali tu kumefanya mikutano iruhusiwe bc na alambe tu,na kama kulamba asali tu kumefanya kikosi Cha magufuri kipoteane bc na alambe tu.,kama kulamba asali tu kumefanya mikutano yetu polisi wasiipige na mabomu bc na alambe tu hiyo asali..na alambe mpk mwisho ili katiba mpya ipatikane... Freeman Mbowe oyeeeeeeee
 
"Rais Samia Suluhu Hassan ananiita mdogo wangu mpaka leo. Hata alipokuja Ubelgiji mwaka jana aliwaambia wale wapambe wake 'mmemuona mdogo wangu?" - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.
..................................................................................

CCM Kila la Kheri katika kuitawala Tanzania kwa hata miaka 5000 ijayo kwani hakuna Upinzani Tanzania bali kuwa Wanafiki na Wachumia Tumbo tu.
sasa shida iko wapi hapo....ulitaka amwitaje
 
Back
Top Bottom