MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Unadhani kwa kauli hiyo ndiyo kunaifanya ccm iwe ndiyo Samia"Rais Samia Suluhu Hassan ananiita mdogo wangu mpaka leo. Hata alipokuja Ubelgiji mwaka jana aliwaambia wale wapambe wake 'mmemuona mdogo wangu?" - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.
..................................................................................
CCM Kila la Kheri katika kuitawala Tanzania kwa hata miaka 5000 ijayo kwani hakuna Upinzani Tanzania bali kuwa Wanafiki na Wachumia Tumbo tu.
Lissu na Samia wana historia ndefu sana. Hawakukutania Barabarani."Rais Samia Suluhu Hassan ananiita mdogo wangu mpaka leo. Hata alipokuja Ubelgiji mwaka jana aliwaambia wale wapambe wake 'mmemuona mdogo wangu?" - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.
..................................................................................
CCM Kila la Kheri katika kuitawala Tanzania kwa hata miaka 5000 ijayo kwani hakuna Upinzani Tanzania bali kuwa Wanafiki na Wachumia Tumbo tu.
Hawa wafuasi wa siasa za ugoko watakwama zama zao zimeshakwisha.Tuendelee kujenga Tanzania moja iliyo imara
Hacha kufitinisha watu haito kusaidia
Hao wafuasi wa jiwe wao wanawaza uhasama tuNini kimekubugudhi hapo ulitaka asemaje
Lisu alikuwa anauza Vitabu huko UbelgijiHao wafuasi wa jiwe wao wanawaza uhasama tu
Mtamchukia Samia hamtofanikiwa. Mlizoea siasa za mitutu na mapanga. This time hamna nafasiLisu alikuwa anauza Vitabu huko Ubelgiji
Ameen#Maridhiano
CCM hatuchukiani asilani kwa sababu fursa ni nyingi na tunatesa kwa zamu humu humu Ndani ya CCMMtamchukia Samia hamtofanikiwa. Mlizoea siasa za mitutu na mapanga. This time hamna nafasi
UmepanicCCM hatuchukiani asilani kwa sababu fursa ni nyingi na tunatesa kwa zamu humu humu Ndani ya CCM
Chuki ziko ufipa Kwenye njaa kali hadi Mbowe anakumbuka mabilioni yake!
Hahaha...... ukiwa CCM huwezi kupanic Wewe!Umepanic
Wote mliozoea vya kunyonga sasa mnakumbushwa mtafutie vya kuchinja wenyewe mle vilivyo fresh,sawa sawa uvccm🤔"Rais Samia Suluhu Hassan ananiita mdogo wangu mpaka leo. Hata alipokuja Ubelgiji mwaka jana aliwaambia wale wapambe wake 'mmemuona mdogo wangu?" - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.