Kama kalamba tu asali kumefanya wafungwa wa kisiasa waachiwe , bc acha alambe tu ..kama kulamba asali tu kumefanya mikutano iruhusiwe bc na alambe tu,na kama kulamba asali tu kumefanya kikosi Cha magufuri kipoteane bc na alambe tu.,kama kulamba asali tu kumefanya mikutano yetu polisi wasiipige na mabomu bc na alambe tu hiyo asali..na alambe mpk mwisho ili katiba mpya ipatikane... Freeman Mbowe oyeeeeeeee