Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,033
- 1,841
Hukusema umeifanyia nn hiyo mil 4.5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naona una laki tano kabisa imetulia kwenye account ,hujui namna ya kuitumia ....Nipo na 45,000 hapa, ilituwa toka Equity Bank na sijui nani aliituma. Ipo tu sijaipatia matumizi.
Mkuu soma hiyo 45k, nyingine achana nayo🤣Mkuu naona una laki tano kabisa imetulia kwenye account ,hujui namna ya kuitumia ....
We mwaminifu una sh ngapi hadi sasaMagumu umeshayamaliza? Na pesa imeshaisha na magumu bado yapo. Uaminifu hufungua Baraka zaidi.
Tusiendekeze sana njaa.
Yalishanikuta believe me.... Nilijiona mjanja kama wewe, ila nikajuta my return ilikuja...Hayo mafomula wakati mwengine huwa hayana maana yoyote, ninachoogopa ni kudhulumu nafsi, au mtu mnayefahamiana, the spirit or her work well on attacking others endapo kama kuna uovu.
Huyu mwambaaa na mtindo wake wa kughani Yu wapi?! Hukhaaaaaaa
yupi, wa kushoto au wa kulia ?Huyu mwambaaa na mtindo wake wa kughani Yu wapi?! Hukhaaaaaaa
Asije mtu akakutisha ooh sijui utapata laana au sijui utailipa kwa njia gani ,,hakuna kitu kama hicho ,,pesa si haramu hata siku moja kwakua haija umbwa ,,fedha imetengenezwa ...Nikiwa nimepitia misukosuko mingi tangu Januari ya mwaka 2022 Nitaikumbuka zaidi siku ya Alhamis tar 29 majira ya saa saba za mchana, nikiwa nimekaa kijiweni na jamaa zangu huku nikiwa sina ramani ya kazi na sikuwa hata na uhakika wa mlo wa mchana kwa siku hiyo iliingia sms ya muamala kwenye simu yangu kuwa nimepokea kiasi cha ml 4.5 kutoka kwa wakala.
Hakika sikuamini nilichokiona, kwa haraka hiyo pesa nikaihamishia kwenye lain yangu ya tigo pesa ml 2 na laini ya voda nikahamishia ml 2, mbio hadi kwa wakala nikaitoa pesa kwenye lain zote na ile iliyokuwa imebaki kwenye namba niliyotumiwa ya airtel nayo nikaitoa.
Na laini iliyopokea muamala sijaiweka hewani hadi sasa na kabla sijaitoa hewani sikupigiwa na mtu kwamba ametuma hela kwangu kimakosa na wala mimi sikuwa na ahadi na mtu eti anitumie hela.
Kwahiyo ninashukuru sana aliyenitumia hiyo hela, kiukweli hata kama angenipigia na kuniambia eti kakosea muamala asingeambulia kitu. Mungu amlinde sana nilikuwa nina Magumu sana asante Mungu, na nitakukumbuka 2022.
Duh pole mkuu ni fundisho hiloKipindi nipo chuoo niliwahi kutumiwa pesa kimakosa laki 8 nikajifanya mjanja nikaitoa nikakusanya marafiki nikaenda nao kunywa pombe ile laini niliswitch off kwa wiki 3.ikapita miezi 8 kimya..baadae bibi alipata shida ya figo ilitakiwa afanyiwe dialysis kila mwezi so michango ya kifamilia ikatembea, bila kujua ili wala lile shangazi akanitumia mchango pesa ya matibabu laki 9.5 niitoe ili nimpatie mzee kumbe alituma katika ile line niliyotumiwa pesa kwa bahati mbaya..tigo hawajuchelewesha sms ikaingia hapo hapo
Ndugu mteja umekatwa sh laki 8 salio lako jipya ni laki na nusu niliishiwa pozi aisee.
Ili kuuawa soo nikaingia hasara nikatoa pesa yangu ya mkopo nikampatia mzee uku moyoni nina maumivu.
Juzi kati kuna mtu alikosea tena akanitumia pesa kimakosa mwenyewe nikamtafuta nikampigia cm nikamwambia umenitumia pesa kimakosa nakurudishia pesa yako..yaanini mie
Kutubu kumekuondolea dhambi ila bado Kuna kitu kunaitwa MALIPIZINimeshafanya mkuu na jana nilienda kanisani kutubu
Aliyetuma akiamua kumtafuta anampata upesi tu.Pesa nyingi hio lazima utafuatiliwa tu. Mkono wa serikali ni mrefu.
Hahahah yaani jamaa anajisifu lazima aje ailipe hio kituKipindi nipo chuoo niliwahi kutumiwa pesa kimakosa laki 8 nikajifanya mjanja nikaitoa nikakusanya marafiki nikaenda nao kunywa pombe ile laini niliswitch off kwa wiki 3.ikapita miezi 8 kimya..baadae bibi alipata shida ya figo ilitakiwa afanyiwe dialysis kila mwezi so michango ya kifamilia ikatembea, bila kujua ili wala lile shangazi akanitumia mchango pesa ya matibabu laki 9.5 niitoe ili nimpatie mzee kumbe alituma katika ile line niliyotumiwa pesa kwa bahati mbaya..tigo hawajuchelewesha sms ikaingia hapo hapo
Ndugu mteja umekatwa sh laki 8 salio lako jipya ni laki na nusu niliishiwa pozi aisee.
Ili kuuawa soo nikaingia hasara nikatoa pesa yangu ya mkopo nikampatia mzee uku moyoni nina maumivu.
Juzi kati kuna mtu alikosea tena akanitumia pesa kimakosa mwenyewe nikamtafuta nikampigia cm nikamwambia umenitumia pesa kimakosa nakurudishia pesa yako..yaanini mie
Malipizi sio[emoji28]Kutubu kumekuondolea dhambi ila bado Kuna kitu kunaitwa MALIPIZI
So MALIPIZI Yana kungojea yakkuchape Ili kusawazisha mambo.
imani za hovyo sana hiziHiyo pesa utakuja kuilipa ,either wewe mwenyewe ,au watoto wako ....
Every action there is equal and opposite to the reaction ...
Kabla ujafaa utailipa ndugyNikiwa nimepitia misukosuko mingi tangu Januari ya mwaka 2022 Nitaikumbuka zaidi siku ya Alhamis tar 29 majira ya saa saba za mchana, nikiwa nimekaa kijiweni na jamaa zangu huku nikiwa sina ramani ya kazi na sikuwa hata na uhakika wa mlo wa mchana kwa siku hiyo iliingia sms ya muamala kwenye simu yangu kuwa nimepokea kiasi cha ml 4.5 kutoka kwa wakala.