ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Shukurani ziende kwa Argentina kwa kuwafunga hawa watu weusi walio usaliti Afrika na kujivika uzungu pori.
Yaani watu weusi sijui hii ngozi ina matatizo gani?
Yaani ungeona njinsi yalivyo kuwa yanalalamika mpaka mishipa inaitoka kisa tu waraabu wa Morocco kukataa kuitwa waafrika ,lakini leo yana washangilia weusi menzao yaliyo ikana afrika na kuamuwa kupigania maslahi ya wazungu.
Yaani una ona ajabu waarabu ambao kimsingi ahusiani chochote na watu weusi kuanzia rangi,nasaba,tamaduni, lugha kukataa kuitwa waafrika, lakini wakati huo hamuoni ajabu kwa weusi wenzenu mnao fanana kila kitu kuanzia rangi, utamaduni,lugha,nasaba ,mpaka utaifa kuukana uafrika wao na bara lao badala yake wakaenda kupigania maslahi ya mataifa ya kizungu?
Majitu mengi meusi ni hovyo kabisa ndo maana yanadharaulika duniani kote.