Asante Argentina kwa kuwafunga hawa wazungu pori

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Shukurani ziende kwa Argentina kwa kuwafunga hawa watu weusi walio usaliti Afrika na kujivika uzungu pori.

Yaani watu weusi sijui hii ngozi ina matatizo gani?

Yaani ungeona njinsi yalivyo kuwa yanalalamika mpaka mishipa inaitoka kisa tu waraabu wa Morocco kukataa kuitwa waafrika ,lakini leo yana washangilia weusi menzao yaliyo ikana afrika na kuamuwa kupigania maslahi ya wazungu.

Yaani una ona ajabu waarabu ambao kimsingi ahusiani chochote na watu weusi kuanzia rangi,nasaba,tamaduni, lugha kukataa kuitwa waafrika, lakini wakati huo hamuoni ajabu kwa weusi wenzenu mnao fanana kila kitu kuanzia rangi, utamaduni,lugha,nasaba ,mpaka utaifa kuukana uafrika wao na bara lao badala yake wakaenda kupigania maslahi ya mataifa ya kizungu?

Majitu mengi meusi ni hovyo kabisa ndo maana yanadharaulika duniani kote.
 
Achaa hasiraa wale ni wafaransa kamili ndio maana wanachezea timu ya taifa agentina jana kakiona cha moto kachukua kombe ila chamoto kakiona ushindi wa penalt sio ushindi huwaa ni hamna namnaa ila wangeongezewa muda wa uwanjani agentina angekaa maana wazungu wale walishachokaa mablack ndio kwanzaa wanatembeza boll messi akimuona mbappe huko PSG lazima ahisi uharooo
 
Hizi stress zimesababishwa na hao wachezaji wenye asili ya Afrika kuchezea Ufaransa, au zimetokana na huu mfumuko wa kutisha wa bei kwenye bidhaa za chakula?
 
Hakika
Shukurani ziende kwa Argentina kwa kuwafunga hawa watu weusi walio usaliti Afrika na kujivika uzungu pori.

Yaani watu weusi sijui hii ngozi ina matatizo gani?

Yaani ungeona njinsi yalivyo kuwa yanalalamika mpaka mishipa inaitoka kisa tu waraabu wa Morocco kukataa kuitwa waafrika ,lakini leo yana washangilia weusi menzao yaliyo ikana afrika na kuamuwa kupigania maslahi ya wazungu.

Yaani una ona ajabu waarabu ambao kimsingi ahusiani chochote na watu weusi kuanzia rangi,nasaba,tamaduni, lugha kukataa kuitwa waafrika, lakini wakati huo hamuoni ajabu kwa weusi wenzenu mnao fanana kila kitu kuanzia rangi, utamaduni,lugha,nasaba ,mpaka utaifa kuukana uafrika wao na bara lao badala yake wakaenda kupigania maslahi ya mataifa ya kizungu?

Majitu mengi meusi ni hovyo kabisa ndo maana yanadharaulika duniani kote.
 
Achaa hasiraa wale ni wafaransa kamili ndio maana wanachezea timu ya taifa agentina jana kakiona cha moto kachukua kombe ila chamoto kakiona ushindi wa penalt sio ushindi huwaa ni hamna namnaa ila wangeongezewa muda wa uwanjani agentina angekaa maana wazungu wale walishachokaa mablack ndio kwanzaa wanatembeza boll messi akimuona mbappe huko PSG lazima ahisi uharooo
Kabla ya kuwa wafaransa wa michongo walikuwa waafrika wenzako na wamezaliwa Afrika.

Ina maana mpaka wanakuja kuwa wafaransa walirazimika kuukana uafirika wao.
Sasa kama nyinyi weusi hamuupendi na mnaukana uafirika wenu iweje muwarazimishe waarabu wa Morocco wautambue?
 
Shukurani ziende kwa Argentina kwa kuwafunga hawa watu weusi walio usaliti Afrika na kujivika uzungu pori.

Yaani watu weusi sijui hii ngozi ina matatizo gani?

Yaani ungeona njinsi yalivyo kuwa yanalalamika mpaka mishipa inaitoka kisa tu waraabu wa Morocco kukataa kuitwa waafrika ,lakini leo yana washangilia weusi menzao yaliyo ikana afrika na kuamuwa kupigania maslahi ya wazungu.

Yaani una ona ajabu waarabu ambao kimsingi ahusiani chochote na watu weusi kuanzia rangi,nasaba,tamaduni, lugha kukataa kuitwa waafrika, lakini wakati huo hamuoni ajabu kwa weusi wenzenu mnao fanana kila kitu kuanzia rangi, utamaduni,lugha,nasaba ,mpaka utaifa kuukana uafrika wao na bara lao badala yake wakaenda kupigania maslahi ya mataifa ya kizungu?

Majitu mengi meusi ni hovyo kabisa ndo maana yanadharaulika duniani kote.
Sijui mumeo huko ndani kama ana amani.
Unawachukiaje watu hawajakuchukulia mume?

Usahauri tu: Umri ukiwa mkubwa kidogo mara nyingi akina mama kama wewe huwa wana upungufu wa homoni ya kike na hivyo huwa wakali wakali hovyo hovyo tu.
Nitafute nikupe dawa ya ku balance hormone zako uache chuki hizi.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Natumaini wewe unaheshimika Duniani kote kwa kuwa mweusi exceptional na siyo kam sisi, besides hao akina Mbappe wamezaliwa Ufaransa sasa ulitakaje? Wapewe fursa ya kuwa mamilionea wakatae kisa wewe utasema? Mbappe is 150 million dollars worth because of football na wengi wanafanya mengi Afrika klk hata Viongozi wako uliowachagua, unaacha kuhold akina Makamba responsible kwa backward ness ya Tanzania unakwenda kushambulia watu ambao hata Afrika siajabu hawajawahi fika? Kwanza Mbappe kama Obama tu mama zao Wazungu hivyo siyo weusi!
 
Wangekuwaa waafrika pengine wangekuwaa wakulimaa mtu anaangaliaa fursa mara ngapiii unasikia watu wakisema bora angezaliwa paka ulaya walee walikosa fursa afrika ya kutoka katika talent zao na nchi zingine zina katiba ya kuruhusu mtu kuwa na uraia pacha hata mwenyewe kama ningekuwaa na kipajii ila bongo hawakithamini haa naamshaa nikatafutee pesaaa mambo ya uafrika yatakujaa mbeleniiii
 
..Argentina wana historia mbaya sana kuhusu Waafrika.

..Kwa kifupi Argentina waliuwauwa watu weusi wote nchini kwao ili wabakie weupe watupu kama mnavyowaona leo hii.

..Hamshangai Brazil kuna watu weusi lakini Argetina hakuna.

..Waafrika wanaochezea France wengi wao wamezaliwa huko. Kama ni lawama wapewe wazazi wao lakini sio hawa vijana kwani hawakuchagua kuzaliwa Ufaransa.
 
Natumaini wewe unaheshimika Duniani kote kwa kuwa mweusi exceptional na siyo kam sisi, besides hao akina Mbappe wamezaliwa Ufaransa sasa ulitakaje? Wapewe fursa ya kuwa mamilionea wakatae kisa wewe utasema? Mbappe is 150 million dollars worth because of football na wengi wanafanya mengi Afrika klk hata Viongozi wako uliowachagua, unaacha kuhold akina Makamba responsible kwa backward ness ya Tanzania unakwenda kushambulia watu ambao hata Afrika siajabu hawajawahi fika? Kwanza Mbappe kama Obama tu mama zao Wazungu hivyo siyo weusi!
Mbappe alikataliwa cameroon watu wanataka rushwaa kwanini asiamshee hatakama ni ww ni vilee tuu kwasababu wamekosa ushindiii
 
..Argentina wana historia mbaya sana kuhusu Waafrika.

..Kwa kifupi Argentina waliuwauwa watu weusi wote nchini kwao ili wabakie weupe watupu kama mnavyowaona leo hii.

..Hamshangai Brazil kuna watu weusi lakini Argetina hakuna.

..Waafrika wanaochezea France wengi wao wamezaliwa huko. Kama ni lawama wapewe wazazi wao lakini sio hawa vijana kwani hawakuchagua kuzaliwa Ufaransa.
Kwelii kabisaaaa na wangezaliwa afrikaa wasingetoboaaaa
 
Sijui mumeo huko ndani kama ana amani.
Unawachukiaje watu hawajakuchukulia mume?

Usahauri tu: Umri ukiwa mkubwa kidogo mara nyingi akina mama kama wewe huwa wana upungufu wa homoni ya kike na hivyo huwa wakali wakali hovyo hovyo tu.
Nitafute nikupe dawa ya ku balance hormone zako uache chuki hizi.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Teta hoja mpumbavu ww na sio matusi.

Kwann mnarazimisha waarabu wajitambulishe kama waafrika wakati hata nyinyi waafrika wenyewe hamuutaki huo uafirika?
 
Unaonekana una low thinking capasity. Na kama siyo hivyo, basi utakuwa una tabia za kichawi.

Maana huwezi kuwa na akili timamu kichwani, halafu ukatokwa na povu kisa eti wachezaji wenye asili ya Afrika wanachezea Ufaransa.
Hata nyinyi mngekuwa na akili msinge tokwa povu dhidi ya wamoroco kukataa kuitwa waafrika bambapo kimsingi ni kweli.
 
..Argentina wana historia mbaya sana kuhusu Waafrika.

..Kwa kifupi Argentina waliuwauwa watu weusi wote nchini kwao ili wabakie weupe watupu kama mnavyowaona leo hii.

..Hamshangai Brazil kuna watu weusi lakini Argetina hakuna.

..Waafrika wanaochezea France wengi wao wamezaliwa huko. Kama ni lawama wapewe wazazi wao lakini sio hawa vijana kwani hawakuchagua kuzaliwa Ufaransa.
Aslimia 90 ya wachezaji wa timu ya taifa ya Morocco na wamezaliwa nchini uhispania na Ufaransa mbona wamerudi kuchezea nchi yao?
 
Shukurani ziende kwa Argentina kwa kuwafunga hawa watu weusi walio usaliti Afrika na kujivika uzungu pori.

Yaani watu weusi sijui hii ngozi ina matatizo gani?

Yaani ungeona njinsi yalivyo kuwa yanalalamika mpaka mishipa inaitoka kisa tu waraabu wa Morocco kukataa kuitwa waafrika ,lakini leo yana washangilia weusi menzao yaliyo ikana afrika na kuamuwa kupigania maslahi ya wazungu.

Yaani una ona ajabu waarabu ambao kimsingi ahusiani chochote na watu weusi kuanzia rangi,nasaba,tamaduni, lugha kukataa kuitwa waafrika, lakini wakati huo hamuoni ajabu kwa weusi wenzenu mnao fanana kila kitu kuanzia rangi, utamaduni,lugha,nasaba ,mpaka utaifa kuukana uafrika wao na bara lao badala yake wakaenda kupigania maslahi ya mataifa ya kizungu?

Majitu mengi meusi ni hovyo kabisa ndo maana yanadharaulika duniani kote.
Tukianzia na wewe hasa kwa thread ya hovyo kutokea. Hivi unajisikiaje unavyojitukana mwenyewe? We kweli ni zuzu.
 
Back
Top Bottom