ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
- Thread starter
- #21
Sija wakataa kwenda Ulaya kutafuta mafanikio ya kimpira mkuu,mm ninacho pinga kwann wakisha enda huko ulaya na kufanikiwa kimpila kwann hawarudi kwenye mataifa yao kupigania timu zao za taifa badala yake wakisha fanikiwa wanaukana uafirika wao na kujivika uzungu pori?Wangekuwaa waafrika pengine wangekuwaa wakulimaa mtu anaangaliaa fursa mara ngapiii unasikia watu wakisema bora angezaliwa paka ulaya walee walikosa fursa afrika ya kutoka katika talent zao na nchi zingine zina katiba ya kuruhusu mtu kuwa na uraia pacha hata mwenyewe kama ningekuwaa na kipajii ila bongo hawakithamini haa naamshaa nikatafutee pesaaa mambo ya uafrika yatakujaa mbeleniiii
Mbona mane ameenda ulaya akafanikiwa lakini amerudi kuliwakilisha na kulipigania taifa lake?