Asante Argentina kwa kuwafunga hawa wazungu pori

Wangekuwaa waafrika pengine wangekuwaa wakulimaa mtu anaangaliaa fursa mara ngapiii unasikia watu wakisema bora angezaliwa paka ulaya walee walikosa fursa afrika ya kutoka katika talent zao na nchi zingine zina katiba ya kuruhusu mtu kuwa na uraia pacha hata mwenyewe kama ningekuwaa na kipajii ila bongo hawakithamini haa naamshaa nikatafutee pesaaa mambo ya uafrika yatakujaa mbeleniiii
Sija wakataa kwenda Ulaya kutafuta mafanikio ya kimpira mkuu,mm ninacho pinga kwann wakisha enda huko ulaya na kufanikiwa kimpila kwann hawarudi kwenye mataifa yao kupigania timu zao za taifa badala yake wakisha fanikiwa wanaukana uafirika wao na kujivika uzungu pori?

Mbona mane ameenda ulaya akafanikiwa lakini amerudi kuliwakilisha na kulipigania taifa lake?
 
Mane si amekwenda mkubwa yeye mwenyewe hana uraia wa huko hawa wengine wamezaliwa hukooo hukoo walaumuni wazazi waoo
 
Mtu hadii kupewa nafasi kwenye timu ya taifa si jambo dogo kama uraia wako unatia shaka hupatiii
 
Teta hoja mpumbavu ww na sio matusi.

Kwann mnarazimisha waarabu wajitambulishe kama waafrika wakati hata nyinyi waafrika wenyewe hamuutaki huo uafirika?

..tatizo la Morocco, Libya, Misri,...hukumbuka Uafrika wao pale wanapopatwa na matatizo.

..chukulia mfano, Misri alivyo mstari wa mbele ktk kadhia zinazowakuta Waarabu lakini hapazi sauti kuhusu matatizo ya Waafrika.

..Lakini sote tunajua kwamba bila MTO NILE hakuna uhai Misri. Na nchi za Tanzania, Uganda, Sudan, Sudani ya Kusini, Ethiopia, zinachangia pakubwa ujazo wa mto Nile kabla haujafika Misri.

..Kwa msingi huo ungetegemea Misri wawe na mahusiano mema na ya kindugu zaidi na nchi za Kiafrika kuliko ilivyo sasa hivi.

..Baada ya Ethiopia kuanza ujenzi wa bwawa kubwa la kufua umeme ndipo tuliposhuhudia Misri wakikurupuka na kukumbusha walimwengu kuwa wao ni Waafrika.

..Hiyo ndiyo attitude ya hawa ndugu zetu wa Afrika Kaskazini. Hukumbuka Uafrika wao wanapopatwa na matatizo.
 
Shukurani ziende kwa Argentina kwa kuwafunga hawa watu weusi walio usaliti Afrika na kujivika uzungu pori.

Yaani watu weusi sijui hii ngozi ina matatizo gani?

Yaani ungeona njinsi yalivyo kuwa yanalalamika mpaka mishipa inaitoka kisa tu waraabu wa Morocco kukataa kuitwa waafrika ,lakini leo yana washangilia weusi menzao yaliyo ikana afrika na kuamuwa kupigania maslahi ya wazungu.

Yaani una ona ajabu waarabu ambao kimsingi ahusiani chochote na watu weusi kuanzia rangi,nasaba,tamaduni, lugha kukataa kuitwa waafrika, lakini wakati huo hamuoni ajabu kwa weusi wenzenu mnao fanana kila kitu kuanzia rangi, utamaduni,lugha,nasaba ,mpaka utaifa kuukana uafrika wao na bara lao badala yake wakaenda kupigania maslahi ya mataifa ya kizungu?

Majitu mengi meusi ni hovyo kabisa ndo maana yanadharaulika duniani kote.

HIZI NI AKILI ZA MIAFRIKA YA NYERERE
 
Aslimia 90 ya wachezaji wa timu ya taifa ya Morocco na wamezaliwa nchini uhispania na Ufaransa mbona wamerudi kuchezea nchi yao?

..Morocco wasinge-qualify wangejaribu kuchezea Ufaransa au Hispania.

..Kuna vijana wa familia ya Boateng wenye asili ya Ghana na Ujerumani.

..Kuna kombe la dunia kaka mtu alichezea Ujerumani, na mdogo mtu alichezea Ghana.

..wachezaji wanaangalia maslahi yao, kabla ya kitu kingine.

..Kwanza,mchezaji ataangalia ni wapi ana nafasi kubwa ya kuwa kikosi cha kwanza na kucheza.

..Pili, ataangalia ni nchi au timu gani inaweza kushinda mechi nyingi.

..Hapo kuna mambo ya DUAL CITIZENSHIP faida na hasara zake.
 
1671462910486.png
 
Tukianzia na wewe hasa kwa thread ya hovyo kutokea. Hivi unajisikiaje unavyojitukana mwenyewe? We kweli ni zuzu.
Jibu hoja acha matusi ,alafu sijajitukana na ndio maana nime sema majitu mengi meusi ukiwemo ww yamejaa funza kichwa na sio wote.
 
..Morocco wasinge-qualify wangejaribu kuchezea Ufaransa au Hispania.

..Kuna vijana wa familia ya Boateng wenye asili ya Ghana na Ujerumani.

..Kuna kombe la dunia kaka mtu alichezea Ujerumani, na mdogo mtu alichezea Ghana.

..wachezaji wanaangalia maslahi yao, kabla ya kitu kingine.

..Kwanza,mchezaji ataangalia ni wapi ana nafasi kubwa ya kuwa kikosi cha kwanza na kucheza.

..Pili, ataangalia ni nchi au timu gani inaweza kushinda mechi nyingi.

..Hapo kuna mambo ya DUAL CITIZENSHIP faida na hasara zake.
Basi wamoroco walikuwa sawa haikuwa na haja ya kuwashambulia.
 
Gavana,

..kinachotakiwa kufanyika ni kuwadaka hao wachezaji kabla hawajawa na majina makubwa.

..Cameroon wangeweza kumpata Mbappe wakati bado ni mchanga.

..Ukisubiri wakati mchezaji ana jina kubwa sio rahisi kumshawishi kuchezea timu ya taifa ya Afrika
 
Mtu kahangaika hadii katokaaa kasaidiwaa na taifa jinginee hatakama ni wewe lazima ulipe fadhila no matter what
 
Basi wamoroco walikuwa sawa haikuwa na haja ya kuwashambulia.

..wana michezo wanaangalia maslahi yao zaidi.

..kwa mfano, kuna wakimbiaji wa mbio ndefu wa Kenya na Ethiopia ambao huchukua uraia wa nchi za Kiarabu kwasababu wamekosa nafasi ktk timu za Olympics za Kenya na Ethiopia.
 
Nafikiri aliyeleta hiii mada asomee hiiiii
Kwa hichi alicho fanyiwa Mbappe kina dhihitisha kuwa watu weusi ni hovyo na ndio maana hakuna jamii inayo taka kujinasibisha nao, kwa hiyo Morocco walikuwa sawa haikuwa na haja ya kuwatolea povu.
 
Shukurani ziende kwa Argentina kwa kuwafunga hawa watu weusi walio usaliti Afrika na kujivika uzungu pori.

Yaani watu weusi sijui hii ngozi ina matatizo gani?

Yaani ungeona njinsi yalivyo kuwa yanalalamika mpaka mishipa inaitoka kisa tu waraabu wa Morocco kukataa kuitwa waafrika ,lakini leo yana washangilia weusi menzao yaliyo ikana afrika na kuamuwa kupigania maslahi ya wazungu.

Yaani una ona ajabu waarabu ambao kimsingi ahusiani chochote na watu weusi kuanzia rangi,nasaba,tamaduni, lugha kukataa kuitwa waafrika, lakini wakati huo hamuoni ajabu kwa weusi wenzenu mnao fanana kila kitu kuanzia rangi, utamaduni,lugha,nasaba ,mpaka utaifa kuukana uafrika wao na bara lao badala yake wakaenda kupigania maslahi ya mataifa ya kizungu?

Majitu mengi meusi ni hovyo kabisa ndo maana yanadharaulika duniani kote.
Ungejua, kusikia au kuona alichokiongea baba yake Mbappe usingethubutu kuandika ulichoandika, labda nikusaidie kasema.vyama vyenu vinataka rushwa kumchukua mchezaji aliyeko nje kuchezea timu ya asili ya taifa lake wakati huko ulaya hawahitaji hata senti moja wakiridhika na uchezaji wake wanampa namba timu ya Taifa. Tambua awamu ya FAT ya ndolanga waliletewa barua kutoka ujerumani timu ikiwaombea wachezaji wawili wapewe kibali Cha kusajiliwa huko, vijana walitaka FAT iwatambue kwamba hata wakihitajika katika timu ya Taifa iwe rahisi kuwapata, jibu la FAT lilikuwa hivi ati hawawatambui hao vijana kwa sababu hawakwenda kihalali, kumbuka wale hawakwenda kimpira walikwenda kutafuta maisha, kilichotakiwa NI kuwasiliana na wale vijana kwanza na mwisho kutoa kibali kuliko kutoa majibu yaharaka na ya hovyo namna hiyo, je kesho Kuna ombi lolote litakuja? Waacheni wachezee timu na nchi zenye kuwathamini, nyie bakieni na roho zenu za kwa nini? Nina anaamini umeleta huu uzi ukiwa hujui hujuma zilizopo katika vyama vya soka Africa huu NI ukweli usiopingika
 
..wana michezo wanaangalia maslahi yao zaidi.

..kwa mfano, kuna wakimbiaji wa mbio ndefu wa Kenya na Ethiopia ambao huchukua uraia wa nchi za Kiarabu kwasababu wamekosa nafasi ktk timu za Olympics za Kenya na Ethiopia.
Mkuu mm sijakataa kuhusu hilo lakini mm ninacho kukataa ni jinsi gani watu walivyo washambulia Morocco kwa kukataa kuitwa waafrika wakati kumbe kuna waafrika original na wao wanaukana uafirika wao lakini tunaona ni kawaida.
 
Achaa hasiraa wale ni wafaransa kamili ndio maana wanachezea timu ya taifa agentina jana kakiona cha moto kachukua kombe ila chamoto kakiona ushindi wa penalt sio ushindi huwaa ni hamna namnaa ila wangeongezewa muda wa uwanjani agentina angekaa maana wazungu wale walishachokaa mablack ndio kwanzaa wanatembeza boll messi akimuona mbappe huko PSG lazima ahisi uharooo

Waongezewe muda gani tena maana muda wa nyongeza ulikwisha! Ndiyo maana wenye akili waliweka hayo matuta! Kubali tu aliyeshinda ameshinda na aliyeshindwa ameshindwa, ndiyo hitimisho la mpira wa miguu, zaidi ya hapo ni pumba tu! Watu hawajui hata kupiga penalty! Dah!
 
Achaa hasiraa wale ni wafaransa kamili ndio maana wanachezea timu ya taifa agentina jana kakiona cha moto kachukua kombe ila chamoto kakiona ushindi wa penalt sio ushindi huwaa ni hamna namnaa ila wangeongezewa muda wa uwanjani agentina angekaa maana wazungu wale walishachokaa mablack ndio kwanzaa wanatembeza boll messi akimuona mbappe huko PSG lazima ahisi uharooo

"Nataka Ulimwengu utambue kuwa Afrika ni sawa na kila mtu, wana uwezo wa kushinda mchezo wowote, kwa sababu tu wachezaji wao wengi wametawanyika Duniani kote wakichezea nchi nyingine" "Najua sitakuwa maarufu kwa kutoa kauli hii lakini FIFA inapaswa kufanya mambo kuwa sawa kwa kukataa wachezaji kuwakilisha nchi nyingine. hii itafanya mashindano ya FIFA kuwa ya ushindani zaidi sio ya upande mmoja." - José Mourinho, Kocha Mkuu wa klabu ya AS Roma. Toa maoni yako Follow Ukurasa Wetu wa Instagram [emoji116] https://www.instagram.com/mudumohtz
 
Back
Top Bottom