Asante dunia miss grand international imetishaaaaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 huko haendi fala, maswali yanatisha, mmexico kingereza cha mchomoa

Asante dunia miss grand international imetishaaaaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 huko haendi fala, maswali yanatisha, mmexico kingereza cha mchomoa

***** lingine hili ,kapigwe miti msenge ,acha kutujazia servers na uharo wako huu
Hua. Sijibizqni na. Wasela wavallia suruali matakoni, naongea. Na watu wenye heshima zao tafuta wahuni wenzako mtukanane, nakaa high table kuongea na na boss zako kitoto kijinga malez zero mbona mnaaibisha wazazi wenu? Umelelewa mtaani, kichokora kichfu emu tokaaa, tokaaaaa tokaaaaaa shenzi type mchiuuuuuuuu(fyonzo)
 
Bc dafu halina maji
Mshukuru seran nisinge kuwa namuogopa yeye, huenda siku ya leo inge kua mbaya kwako, usinge nitazama mara mbili mbili, huu mziki ni hatari mkuu, be care si Kila turubali huashilia sherehe, vingine ni vikao vya wahuni🫵🫵🫵 mziki huwezi hauchagui tusi nikirusha lolote
 
Mtu mweusi kujisifu lugha ya mkoloni wako inafikirisha kidogo.
Kumbuka technology yote ni mkoloni mtupu, misaada yote ni mkoloni mtupu hatujafikia hatua ya mchina kwamba tuna kila kitu hatuhitaji kuwa watumwa wa lugha za watu! Sie ni tegemezi kwa wasema kingereza sa tutafanyaje
 
Mshukuru seran nisinge kuwa namuogopa yeye, huenda siku ya leo inge kua mbaya kwako, usinge nitazama mara mbili mbili, huu mziki ni hatari mkuu, be care si Kila turubali huashilia sherehe, vingine ni vikao vya wahuni🫵🫵🫵 mziki huwezi hauchagui tusi nikirusha lolote
Seran ndo nani?

Sio nishindwe kukutazamana mara mbili, hata hy mara moja tuu sijakutizama 😂

Kakojoe ukalale fala ww
 
Miss ni shindano linalo husu mabinti, Mr linahusu wanaume, mashindano haya kibongo tunaaita ashindano ya. Ulimbwende, ukivaa vazi lipi unaonekan vipi? Nani alivaa vazi Fulani anapendezza, huyo ndie ataekua mshindi,, ni kama ubunifu wa mavazi ila uttapewa wewee uvvae, uoneshe watu.

Lakini pia Huwa wanaangaliaa utatuzi WA mambo ya klijami ni jinsia Gani unawezaa tatua matatizo yaaliyopo kwenye jamii Yako au nyingine, kujiamini kwako na tutaenda kutoa chango gaani kwenye jamii yako
kuna fund anapewa ili aweze kufanya hayo?
 
Kila Miss ana director wake Yani timu yake inayo msimamia, hao wanapewa maelekezo kwamba tuna vaa nguo ya kuogelea, wao wana design wanampa mtu wao, ni timu kubwa, ya Miss husika(director)
kuna hela anapata akiwa mshindi ? il hiyo timu ifanye hayo majukumu vzr ? au shughuli zake zinakua fund na nani?
 
Back
Top Bottom