Asante dunia miss grand international imetishaaaaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 huko haendi fala, maswali yanatisha, mmexico kingereza cha mchomoa

Asante dunia miss grand international imetishaaaaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 huko haendi fala, maswali yanatisha, mmexico kingereza cha mchomoa

Miss grand huku sio pa mchongo, Mzee Kuna maswali unaulizwa ya papo kwa papo, inabidi kichwani uwe njema.

Mmexico ashindwa kingereza hata muecuador nae lugha gongano hapo ndio jihan alipo piga hat trick tusomeni wazee.

Jihan jihan jihan, achana na hawa wazee wa jf wao siasa Kila muda, wazungu na kulijua democracy huenda viwnjan kujaza uwanja kwa akili ya epl, bundes liga nk SISI tumekaririshwa siasa Kila muda.

Asante mama Asante mama Samia mchango ni mkubwa, Asante msigwa, Asante watanzania mashindano yalihitaji pesa sio siasa, watu wametoa pesa Asante mke wa gsm Asante serikali ya tanzania here we goo.


Ni muda wabongo tuwe na slogan yetu...

You will never walk alone tz
***** lingine hili ,kapigwe miti msenge ,acha kutujazia servers na uharo wako huu
 
Hii ilinipita niwe mkweli mdg wangu
Miss ni shindano linalo husu mabinti, Mr linahusu wanaume, mashindano haya kibongo tunaaita ashindano ya. Ulimbwende, ukivaa vazi lipi unaonekan vipi? Nani alivaa vazi Fulani anapendezza, huyo ndie ataekua mshindi,, ni kama ubunifu wa mavazi ila uttapewa wewee uvvae, uoneshe watu.

Lakini pia Huwa wanaangaliaa utatuzi WA mambo ya klijami ni jinsia Gani unawezaa tatua matatizo yaaliyopo kwenye jamii Yako au nyingine, kujiamini kwako na tutaenda kutoa chango gaani kwenye jamii yako
 
Back
Top Bottom