field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 2,061
- 4,686
Nimekuelewa sana kaka, achapwe viboko vya kutosha. Asante kwa kuwa una u-patriotism.Ona huyu nae, huyu asokanyage bongo. Kuja kutalii viboko vitamhus
Nimekuelewa sana kaka, achapwe viboko vya kutosha. Asante kwa kuwa una u-patriotism.Ona huyu nae, huyu asokanyage bongo. Kuja kutalii viboko vitamhus
Sahihi sababu ili ashinde ili hitajika.pesq naa mama alitoaKura mmepiga nyie akirudi atamshukuru mama 😂
Msamehe baba, hajui alitendaloSiyo lugha ya mkoloni wewe, hiyo ndiyo lugha ya biashara, inaongelewa na wajerumani, wasweden (Ingawa wote hawa wanayo lugha yao) inaongelewa na mmarekani (Jua hii ni lugha ya waingereza). Kwanini wote wanaongea na wewe unachoongea hakijulikani? Lugha ina matter sana wewe mjinga, tunafundishwa kiingereza kwenye shule zetu, wewe endelea kudanganywa na hao wanaokudanganya. Ulivyopanda ndege (Kama umebahatika kusafiri), ulisikia marubani wakiongea lugha nyingine zaidi ya lugha unayoisema ya mkoloni........? Acha ujinga na uache kudanganywa danganywa na watu wasio na akili. Lugha ina umuhimu wake.....Kama lugha tu inakushinda.....unaweza nini kaka? Mlidanganywa na Nyerere, mbona yeye alikuwa akiongea kiingereza kizuri na alikuwa hana haja ya mkalimani? Huyu rais aliyepo mbona naye lugha inapanda. Acheni ubaradhuli nyie.
UnajicontradictMiss grand huku sio pa mchongo.!
You will never walk alone tz
Tanzanians are too stupidKura mmepiga nyie akirudi atamshukuru mama 😂
Mama alitoa wapi bila sisi kumpa ? Shukurani ni kwa wabongo bhanaSahihi sababu ili ashinde ili hitajika.pesq naa mama alitoa
Vijana gani hao?wale wanaoshinda kwenye vibanda vya kubet siku nzima kufanya kazi hawataki kisha wanataka hela za mteremko hadi wengine wanajigeuza wa kike ili waongwe pesa,wengine ni ombaomba ila wakarasimisha na kujiita machawaMungu ameleta taifa la vijana, kuikomboa tanzania na Kama vijana wa sasa wangeAliwa enzi zenu tanzania ingekua na kombe la dunia, tanzania ingekua kubwa sana kimaendeleo mana vijana wa sasa wanaona mbali
Wivu,chuki na ushirikina detected..............................Unajicontradict
Then u prise people to Dildo 🤭
Sawa kaka wabongo 🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿Mama alitoa wapi bila sisi kumpa ? Shukurani ni kwa wabongo bhana
Nani aliekwambia zamani hakukua na mashoga, Rudi kasome historia vizuriVijana gani hao?wale wanaoshinda kwenye vibanda vya kubet siku nzima kufanya kazi hawataki kisha wanataka hela za mteremko hadi wengine wanajigeuza wa kike ili waongwe pesa,wengine ni ombaomba ila wakarasimisha na kujiita machawa
Kama ulivo weweAtakuwa raia pacha huyu
Kama walikubandua sio Kila mtu mkuu, wengine tunalinda migongo yetu pole mkuu kuwa makini usiwe unjiachia sanaWhatever...but i say once again YBWYB
Yamenuna huko, hatuyapi kiki🤣🤣Ile team ya kupinga kila kitu imeshafika hapa au bado wana chaji simu zao kwanza?
Hahaaa aseh.Baada ya wimbo wa taifa kupigwa chozi limetaka kunidondoka bonge Moja la feeling
Nchi ngapi zimeshiriki?Miss grand huku sio pa mchongo, Mzee Kuna maswali unaulizwa ya papo kwa papo, inabidi kichwani uwe njema.
Mmexico ashindwa kingereza hata muecuador nae lugha gongano hapo ndio jihan alipo piga hat trick tusomeni wazee.
Jihan jihan jihan, achana na hawa wazee wa jf wao siasa Kila muda, wazungu na kulijua democracy huenda viwnjan kujaza uwanja kwa akili ya epl, bundes liga nk SISI tumekaririshwa siasa Kila muda.
Asante mama Asante mama Samia mchango ni mkubwa, Asante msigwa, Asante watanzania mashindano yalihitaji pesa sio siasa, watu wametoa pesa Asante mke wa gsm Asante serikali ya tanzania here we goo.
Ni muda wabongo tuwe na slogan yetu...
You will never walk alone tz
Nadhani nyingi sana sijahesabu mkuu nineanzia top ten kufatiliaNchi ngapi zimeshiriki?