Asante dunia miss grand international imetishaaaaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 huko haendi fala, maswali yanatisha, mmexico kingereza cha mchomoa

Asante dunia miss grand international imetishaaaaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 huko haendi fala, maswali yanatisha, mmexico kingereza cha mchomoa

Miss grand huku sio pa mchongo, Mzee Kuna maswali unaulizwa ya papo kwa papo, inabidi kichwani uwe njema.

Mmexico ashindwa kingereza hata muecuador nae lugha gongano hapo ndio jihan alipo piga hat trick tusomeni wazee.

Jihan jihan jihan, achana na hawa wazee wa jf wao siasa Kila muda, wazungu na kulijua democracy huenda viwnjan kujaza uwanja kwa akili ya epl, bundes liga nk SISI tumekaririshwa siasa Kila muda.

Asante mama Asante mama Samia mchango ni mkubwa, Asante msigwa, Asante watanzania mashindano yalihitaji pesa sio siasa, watu wametoa pesa Asante mke wa gsm Asante serikali ya tanzania here we goo.


Ni muda wabongo tuwe na slogan yetu...

You will never walk alone tz
Picha ake🙏
 
Kaka mi sio dogo, mana umri wangu usha vuka huko, naitwa alexido shot and clear.

Malengo yangu ni kushinddana na davido, wiz kid na burna boy, na watakaa hii tanzania ya sasa hakuna kenge atakae katiza tukamchekea
Sasa kama age go bado unategemea mziki ukutoe? Unawaza kwa kutumia kiungo gani cha mwili wako? Wewe endelea kutoa "big up" kwa Samuya na genge lake huko ndio kutakutoa...huku kwenye music utasota sana...u tell you once again YBWYB
 
Sasa kama age go bado unategemea mziki ukutoe? Unawaza kwa kutumia kiungo gani cha mwili wako? Wewe endelea kutoa "big up" kwa Samuya na genge lake huko ndio kutakutoa...huku kwenye music utasota sana...u tell you once again YBWYB
Sawa mungu, nimepokea kile ulicho niandikia kuwa mziki Haiti nitoa nilitaka nikujize kua mi ni mfanya biashara mziki ni Moja ya mradi nilio ongezea tu hivo unitoe usinitoe ihiii
 
Ona huyu nae, huyu asokanyage bongo. Kuja kutalii viboko vitamhusu
 

Attachments

  • VID_20261010_113817_404.mp4
    31.9 MB
Mtu mweusi kujisifu lugha ya mkoloni wako inafikirisha kidogo.
Siyo lugha ya mkoloni wewe, hiyo ndiyo lugha ya biashara, inaongelewa na wajerumani, wasweden (Ingawa wote hawa wanayo lugha yao) inaongelewa na mmarekani (Jua hii ni lugha ya waingereza). Kwanini wote wanaongea na wewe unachoongea hakijulikani? Lugha ina matter sana wewe mjinga, tunafundishwa kiingereza kwenye shule zetu, wewe endelea kudanganywa na hao wanaokudanganya. Ulivyopanda ndege (Kama umebahatika kusafiri), ulisikia marubani wakiongea lugha nyingine zaidi ya lugha unayoisema ya mkoloni........? Acha ujinga na uache kudanganywa danganywa na watu wasio na akili. Lugha ina umuhimu wake.....Kama lugha tu inakushinda.....unaweza nini kaka? Mlidanganywa na Nyerere, mbona yeye alikuwa akiongea kiingereza kizuri na alikuwa hana haja ya mkalimani? Huyu rais aliyepo mbona naye lugha inapanda. Acheni ubaradhuli nyie.
 
Back
Top Bottom