MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Akikujibu ni tag,maana sielewi🙌samahani mimi ni kizazi cha zamani kwani miss grand ndo nini😎
Akikujibu ni tag,maana sielewi🙌samahani mimi ni kizazi cha zamani kwani miss grand ndo nini😎
Sasa si utusaidie nawewe unaringaHuja soma hata shule dada angu mbona neno limekamilika
"You will never walk alone tz"! Hii ndiyo slogan yetu! Utakamatwa kwa wizi.Miss grand huku sio pa mchongo, Mzee Kuna maswali unaulizwa ya papo kwa papo, inabidi kichwani uwe njema.
Mmexico ashindwa kingereza hata muecuador nae lugha gongano hapo ndio jihan alipo piga hat trick tusomeni wazee.
Jihan jihan jihan, achana na hawa wazee wa jf wao siasa Kila muda, wazungu na kulijua democracy huenda viwnjan kujaza uwanja kwa akili ya epl, bundes liga nk SISI tumekaririshwa siasa Kila muda.
Asante mama Asante mama Samia mchango ni mkubwa, Asante msigwa, Asante watanzania mashindano yalihitaji pesa sio siasa, watu wametoa pesa Asante mke wa gsm Asante serikali ya tanzania here we goo.
Ni muda wabongo tuwe na slogan yetu...
You will never walk alone tz
Si nimesikia ni mlebanoni alieshinda ?Kazi chafu.
79Nchi ngapi zimeshiriki?
Kweli baba ni Lebanese mama MswahiliSi nimesikia ni mlebanoni alieshinda ?
Hata mimi nataka nijue ili nianze kushangilia ushindi ..samahani mimi ni kizazi cha zamani kwani miss grand ndo nini😎
Wewe ni ke?Baada ya wimbo wa taifa kupigwa chozi limetaka kunidondoka bonge Moja la feeling
Tanzania ili mtu aonekane ana akili anatakiwa kupinga na kukosoa kila kinachofanywa na serikali.Ile team ya kupinga kila kitu imeshafika hapa au bado wana chaji simu zao kwanza?
YBWYB...sina maneno mengiKama walikubandua sio Kila mtu mkuu, wengine tunalinda migongo yetu pole mkuu kuwa makini usiwe unjiachia sana
kashinda au imekuanje? watanzania mna mambo yenu ya kipekee kabisaMiss grand huku sio pa mchongo, Mzee Kuna maswali unaulizwa ya papo kwa papo, inabidi kichwani uwe njema.
Mmexico ashindwa kingereza hata muecuador nae lugha gongano hapo ndio jihan alipo piga hat trick tusomeni wazee.
Jihan jihan jihan, achana na hawa wazee wa jf wao siasa Kila muda, wazungu na kulijua democracy huenda viwnjan kujaza uwanja kwa akili ya epl, bundes liga nk SISI tumekaririshwa siasa Kila muda.
Asante mama Asante mama Samia mchango ni mkubwa, Asante msigwa, Asante watanzania mashindano yalihitaji pesa sio siasa, watu wametoa pesa Asante mke wa gsm Asante serikali ya tanzania here we goo.
Ni muda wabongo tuwe na slogan yetu...
You will never walk alone tz
ukipata jibu niambiesamahani mimi ni kizazi cha zamani kwani miss grand ndo nini😎
Ngoma ngumu na mambo ya umiss na umodel wapi na wapi 😄ukipata jibu niambie
hahahahaha,mie sielewei kabisa, nini kinaendeleaNgoma ngumu na mambo ya umiss na umodel wapi na wapi 😄
Naona haya mambo yana wenyewe na inabidi tuwaachie tu
Ova
Kazi kweli kwelihahahahaha,mie sielewei kabisa, nini kinaendelea
Nani huyo anikamate kwa kosa gani"You will never walk alone tz"! Hii ndiyo slogan yetu! Utakamatwa kwa wizi.
Hamna kaka hata mi sio shabiki wa umiss kilicho tusukuma ni bendera ya tanzania, vijana wameamka sasaNgoma ngumu na mambo ya umiss na umodel wapi na wapi 😄
Naona haya mambo yana wenyewe na inabidi tuwaachie tu
Ova
?ukipata jibu niambie
nda mkuu, tena kwa nguvu ya umma na kua miafrika wa kwanza kushinda tangu yaanzishwe mwaka 2013kashinda au imekuanje? watanzania mna mambo yenu ya kipekee kabisa