Ngarob
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 661
- 2,204
Nakushauri nunua TV mpya....Aliyetoa pasi ya Mwisho alikuwa Offside Kbs...! Hili ndilo Linalorudisha nyuma Soka Letu...!
Marefa bora Aidha hatunao au Wapo isipokuwa Wanapochezesha hizi timu kubwa Wanakuwa 'under influence'...!
hiyo uliyonayo ni kanyaboya tv