Asante KAZE tumeiona: Kwa nini Kaze kawazuia washambuliaji wake wote kushambulia hapo mwishoni mwa mchezo?

Wachezaji wetu bongo zao nzito sana kwenye kufanya maamuzi ya haraka na yenye tija ...ona km yule winga wa namungo kakosa goli la wazi kbsa akitazamana na diara halafu anaona fresh tu tena wanapeana mikono na mwenzake kupongezana kukosa goli la wazi

Ingekuwa mchezaji wa kigeni pale angejichotea maujiko kiulaiiini
 
Na bado Yanga akaambilia patupu kikombe cha kahawa ilhali hiyo timu nyingine ikaondoka na kombe halisi.
 
Aliyetoa pasi ya Mwisho alikuwa Offside Kbs...! Hili ndilo Linalorudisha nyuma Soka Letu...!

Marefa bora Aidha hatunao au Wapo isipokuwa Wanapochezesha hizi timu kubwa Wanakuwa 'under influence'...!
Yao hakuwa offside...

1.Alikimbia toka nyuma akakatiza kati ya mabeki wawili wa timu ya NAMUNGO, then ndio akapiga cross iliyozaa goli.

Nimekuwekea video ya movement ilivyokuwa kwa faida yako, asante.
Your browser is not able to display this video.
 
JIBU: Ili kuwaruhusu wachezaji wote wa Yanga washambulie bila hofu ya counter attack!! Tunaposema kilichofanyika ni "IMETHIBITISHWA" muwe mnaelewa!! Na kweli bwana wakapewa kagoli kamoja!!
Umemind.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…