Asante KAZE tumeiona: Kwa nini Kaze kawazuia washambuliaji wake wote kushambulia hapo mwishoni mwa mchezo?

Wewe na mpira bado sana.... Ikikupendeza achana nao.
 
Kadri muda unavyosonga mbele hiyo timu ufanisi wake unazidi kupungua ndomana unaona wakina Namungo wanacheza nayo fresh tu.

Nakufikia mechi ya 10 watakua wamebaki na uzoefu pekee, kama hutaki endelea kukaza fuvu, halafu muda utakujibu.
 
Yao hakuwa offside...

1.Alikimbia toka nyuma akakatiza kati ya mabeki wawili wa timu ya NAMUNGO, then ndio akapiga cross iliyozaa goli.

Nimekuwekea video ya movement ilivyokuwa kwa faida yako, asante.View attachment 2756383
Samahani Chifu, unaweza kumchukua Mleta mada umrudishe Mirembe kwa matibabu zaidi ya afya ya akili?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Aliyetoa pasi ya Mwisho alikuwa Offside Kbs...! Hili ndilo Linalorudisha nyuma Soka Letu...!

Marefa bora Aidha hatunao au Wapo isipokuwa Wanapochezesha hizi timu kubwa Wanakuwa 'under influence'...!
Wewe umesimuliwa.
 
Ngoja tujikite kwenye lawama na maana hatujui tatizo letu ni Yanga, Robertinho, vingozi au wachezaji siku akili zikirudi jamaa wana makombe sita mfurulizo
 
Ngoja tujikite kwenye lawama na maana hatujui hata tatizo letu ni Yanga, Robertinho, uongoziau wachezaji siku akili zikirudi jamaa wana makombe sita mfurulizo
Mbona kama sijaelewa ulichokiandika....
 
Namungo jana wametoa mpaka kafara.
Kafara watu wanne walikufa, zile ndio zilikuw goli nne jumlisha na hilo moja ni tano.
 
JIBU: Ili kuwaruhusu wachezaji wote wa Yanga washambulie bila hofu ya counter attack!! Tunaposema kilichofanyika ni "IMETHIBITISHWA" muwe mnaelewa!! Na kweli bwana wakapewa kagoli kamoja!!
Haya ndiyo matatizo ya kula sana mpaka kuvimbiwa. Yaani ukibeua, harufu yake ndiyo kama hii sasa.
 
Aliyetoa pasi ya Mwisho alikuwa Offside Kbs...! Hili ndilo Linalorudisha nyuma Soka Letu...!

Marefa bora Aidha hatunao au Wapo isipokuwa Wanapochezesha hizi timu kubwa Wanakuwa 'under influence'...!
Ndugu, punguza ujuaji. Maana unaonekana kituko kwenye jamii ya wanamichezo.
 
Mnapenda kututafuta nyie vyura😁
 
Huyu kaze so ndio walituambia no kocha wa Barcelona, huu ndio mpira alikuwa akifundisha Barcelona?
 
Aliyetoa pasi ya Mwisho alikuwa Offside Kbs...! Hili ndilo Linalorudisha nyuma Soka Letu...!

Marefa bora Aidha hatunao au Wapo isipokuwa Wanapochezesha hizi timu kubwa Wanakuwa 'under influence'...!
Bro nyie mnaleta ushabiki maandazi na.mpora ni mchezo wa wazi. Mkuu ile haikuwa offside, ebu muwe mnaona aibu na sio kubisha ka kuleta ushabikinkwa kila jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…