Asante Magufuli: MV Amani yaanza majaribio ziwa Tanganyika

Meli ikishafanya safari kuja tz inakua ishanunuliwa? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni Kweli kabisa kaka nilikuwa sijui kabisa Kama n meli ya RDC huko ulikoipandia. Hivi Rais wa huko RDC n nan? Savimbi beib au?
 
Na wengine tunakumbuka hii...


Watanzania tulipigwa na hatujasahau...​
 
Kwanini hapo mwanzo ilikuwa haiji?

Usione vyaelea, vimeundwa
Ujue mwanzo tulikua na meli zetu zilikua zikifanya kazi katika ziwa Tanganyika ambayo ni MV liemba na MV muongozo, sasa hivi meli zetu zote zimepaki ni Mbovu hazifanyi kazi , kwa hiyo Congo wameona watumie fursa iliyopo kuleta meli ili waongeze kipato chao, sisi acha tuendelee kulala ,
Sio kila kitu chakusifia tu pasipo kufikiria
 
Kwahiyo unataka tulaumu kwa ujio wa MV. Amani?
 
Kwahiyo unataka tulaumu kwa ujio wa MV. Amani?
Sasa kipi cha kufurahisha hapo , mue mnajielewa basi , iambie serekali yako ifufue meli zake zilizokufa zile ndio zenye manufaa makubwa kwetu , acha uzwazwa
 
Kuna ujenzi wa meli mpya soon utaanza
 
Sasa kipi cha kufurahisha hapo , mue mnajielewa basi , iambie serekali yako ifufue meli zake zilizokufa zile ndio zenye manufaa makubwa kwetu , acha uzwazwa
Unajua ndio maana mnafeli sana na mwaka huu sidhani Kama Zitto atapita. Kuna vitu sio vya kupinga, ukipinga wananchi ambao ndio wanufaika, kamwe hawawezi kukuelewa.

MV Liemba ni Meli ya muda mrefu Sana, toka mjerumani. Meli hii inahitaji matengenezo makubwa Sana na ambayo Ni afadhali ununue meli mpya ya kisasa.

Sasa hivi wananchi wa Kigoma wanateseka na serikali ikaona ilitatue kwanza tatizo Hilo mengine yatafuata. Nyie mnapinga.

Sikiliza, mlitakiwa mshukuru kwa ufumbuzi uliopatikana halafu mshauri serikali inunue meli zake au ikarabati zilizopo lakini sio kupinga.

Wananchi watawaadhibu keshokutwa jumatano
 

Mboga mboga vipi nyie tangu lini meli ya congo ikawa ya jpm ilikuwa haiji miaka sababu ya vurugu za Vita maeneo ya kivu na kalemie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…