Asante mama Samia Suluhu, kampuni ya Kenya yapokezwa mkataba wa mabilioni Tanzania

Asante sana.
Nicxie umeona sass kwamba ni juhudi za wahindi ku-lobby huko WHO na kupata deal la kusambaza hivyo vifaa tiba worldwide chini ya mpango wa Covax..
Wewe akili yako ni mbovu! Kampuni iko wapi? Wafanyikazi ni wa wapi? Nchi inayosambaza hivyo vifaa ni ipi? Tax inaingia kwa serikali ipi? Mwisho nikuulize, Tanzania include Bank of Baroda, Bank of India, Canara Bank, MeTL Group, Dangote Industries Tanzania, Vodacom Tanzania, Viettel Tanzania... nk, nijuhudi za Watanzania??????? 😂 😂 😂 😂 😂
 
Asante sana.
Nicxie umeona sass kwamba ni juhudi za wahindi ku-lobby huko WHO na kupata deal la kusambaza hivyo vifaa tiba worldwide chini ya mpango wa Covax..
Hakuna Mhindi aliye lobby kokote, walikidhi stardands za vifaa vyao kwa quality ndio maana wakapewa go ahead kuzisambaza. To be clear, hiyo kampuni iko Kenya toka kitambo tu, sahi ndio mnaijua nyie wazembe.😂😂
"COVID-19 Vaccines Global Access, abbreviated as COVAX, is a worldwide initiative aimed at equitable access to COVID-19 vaccines directed by Gavi, the Vaccine Alliance (formerly the Global Alliance for Vaccines and Immunization, or GAVI), the Coalition for Epidemic Preparedness Innovations (CEPI), and the World Health Organization (WHO). It is one of the three pillars of the Access to COVID-19 Tools Accelerator."
 
In the latest conquest, Kilifi-based medical supplies company Revital Healthcare EPZ Limited has inked a deal with Tanzanian government estimated to be...
Revital Healthcare EPZ Ltd received an order for 11 million Covid-19- 2ml, 5ml and 10ml vaccine syringes from Tanzania...
Revital Healthcare EPZ Ltd has received an order of 11 million Covid-19 vaccine syringes from Tanzania, which has ordered the 2ml, 5ml and 10ml vaccine syringes. This follows the improved relationship between Kenya and Tanzania...
Wahindi noma
 
Asante sana.
Nicxie umeona sass kwamba ni juhudi za wahindi ku-lobby huko WHO na kupata deal la kusambaza hivyo vifaa tiba worldwide chini ya mpango wa Covax..
Wacha kulazimisha maneno kijana. It's clearly stated that Recital Healthcare begun operations during Kibaki regime. Je wakati huo kulikuwa na Corona? It's also stated that they only got approval from WHO to produce the specialized syringes. Wewe unasema they lobbied to get the contract. Unless I don't know the true meaning of the word lobby but these people got this contract by merit being that they are one of the only six such companies in the world.

Secondly, this company produces a myriad of other products; 34 in total. Are all these other products associate with corona? Where is it written that their agreement with WHO has anything to deal with covax? I thought covax is a different segment under WHO whose primary goal is to manufacture Covid-19 vaccine. Covaz inaingiaje hapo? Na hata sijaona mahali Covax yenyewe imetajwa kwenye hiyo article.

Lastly, if you read the article to the end, it's stated that this is just one of 20 such companies in Kenya with WHO certification to produce PPEs for the domestic market as well as the export market. There are 19 others like this one. This only shows how serious our manufacturing sector is so brace yourselves for more orders coming from your government because you have 20 companies in Kenya to choose from!
 
Duh, hawa jamaa wa Kilifi tayari washaangukia deal, majuzi tu nikienda Malindi ndio niliona hiyo factory ata sio kubwa vile lakini, nikaambiwa mambo yake, wako sawa. Vijana wa kikambala wameangukia kazi sana pale naskia, and that's good, wakuwe busy angalau wapate za kujiendeleza. Nice... 👏🏽👏🏽👏🏽
You know what you are talking about... Hizo EPZ ziko hilo eneo hua zimeajiri watu wengi sanaaaa!
 
MaguFOOLi alikua hapendi kufanya biashara na Kenya.
Achomwe moto kama hao vifaranga aliochoma mpakani

Kweli alikuwa hapendi kufanya biashara na Kenya?

Kama ni kweli.

Wewe unafikiri kwa nini alikuwa hapendi kufanya biashara na Kenya?
 
Wacha kulazimisha maneno kijana. It's clearly stated that Recital Healthcare begun operations during Kibaki regime. Je wakati huo kulikuwa na Corona? It's also stated that they only got approval from WHO to produce the specialized syringes. Wewe unasema they lobbied to get the contract. Unless I don't know the true meaning of the word lobby but these people got this contract by merit being that they are one of the only six such companies in the world.

Secondly, this company produces a myriad of other products; 34 in total. Are all these other products associate with corona? Where is it written that their agreement with WHO has anything to deal with covax? I thought covax is a different segment under WHO whose primary goal is to manufacture Covid-19 vaccine. Covaz inaingiaje hapo? Na hata sijaona mahali Covax yenyewe imetajwa kwenye hiyo article.

Lastly, if you read the article to the end, it's stated that this is just one of 20 such companies in Kenya with WHO certification to produce PPEs for the domestic market as well as the export market. There are 19 others like this one. This only shows how serious our manufacturing sector is so brace yourselves for more orders coming from your government because you have 20 companies in Kenya to choose from!
Fool clone,

Sasa kama kiwanda kilianza kitambo mbona hatukuwahi kununua toka muda hizo sindano hapo? Si ndio tumeanza kununua hapo Sasa? Na si ni kweli Covax wanachukua sindano hapo ama ni nini?

Na si kiwanda hicho kimekuwa kikubwa baada ya ku-merge na parent group ya India? Na ndio Jayden akazindua upya tena baada ya Kibaki? Au umeleta jipya gani hapa?
 
Wewe sasa ni wa kupuuzwa tu, huna kipya. Najua kinachokusumbua ni kwamba hiki kiwanda kipo Kenya na wala sio Tanzania. Why are you so sire that your government hasn't done business with this company before?

Tupatie merger documents kati ya hii kiwanda na hiyo ya India (which you can't even mention the name) to validate your argument. This facility has been in operation for the last 12 years but you make it sound like it started operating two weeks ago with special emphasis on covid-19. Kwa hivyo corona ikiisha na wao watafunga kazi?
 
Asante sana.
Nicxie umeona sass kwamba ni juhudi za wahindi ku-lobby huko WHO na kupata deal la kusambaza hivyo vifaa tiba worldwide chini ya mpango wa Covax..
Let me make it clear. Hakuna Mhindi yeyote aliyefanya lolote. First, Revital Healthcare (EPZ) Limited Kenya, is 💯 % owned by Abraaj Group, a UK/USA firm based in Dubai. So sielewi unongelelea nini! 🤷🏾‍♂️🥴
 
Mzee akili zako kawadanganye wakenye wanzako washamba. Abraaj Owner wake ni jamaa toka Pakistan. Once upon a time Pakistan was a part of India

Screenshot_20210621-145105.png
 
Mzee akili zako kawadanganye wakenye wanzako washamba. Abraaj Owner wake ni jamaa toka Pakistan. Once upon a time Pakistan was a part of India

View attachment 1825455
Wewe kilaza kama wabongo wenzako, Abraaj Group iliuzwa kwa Colony Capital, Actis Capital, na TPG Capital in 2018 baada ya kuwa na deni la $1.1 billion, including $501.4 million to unsecured creditors and $572.4 million to secured creditors. Hizo firm tatu niza wazungu wa UK na USA.
Fala sana wewe, toka wikipedia, unafikiri una akili sana! 😬😬😬🥴
Hii hapa chini uliona aibu kuiweka ama???🤷🏾‍♂️ 😂 😂 😂 👇👇 💉💉💉
Screenshot_20210621_151217.jpg
 
View attachment 1825464
Mzee mbona unalazimisha!? Hiyo Wikipedia hata mimi naweza edit. Tuondolee upumbavu wako.
 
Mimi naogopa wakenya sana, they’re JamiiForums smart, I think I saw it somewhere KIkuyu people from Kenya are smartest in Africa just behind Igbo people from Nigeria , any business with these people must be throughly investigated before proceedings... samahani km nawakwaza, napitia tuuu....lol

That is it.
 
Mzee mbona unalazimisha!? Hiyo Wikipedia hata mimi naweza edit. Tuondolee upumbavu wako.
Mbona uko mnyonge hivyo? Unahitaji dhaawa yangu inaonekana! Haya eka trako vizuri ukamate hii kitu... 💉💉💉👇👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Abraaj Group’s Partners: Where Are They Now?
The Abraaj Group Scandal | Sell Side Handbook
The Abraaj Group, a Dubai-based private equity firm, is a narrative of success turned dark comedy.
Abraaj CEO Charged With Fraud in U.S. After Firm's ...
The Abraaj Group, which collapsed last year in the world’s biggest private-equity insolvency, were arrested on U.S. charges of defrauding investors...
How Did The Abraaj Group Lose Everything? » ProperGaanda
The Abraaj Group was a private equity firm operating in six continents, known for its diverse portfolio which included education, healthcare, construction, material, banking, transport, etc....
DFSA Fines Two Abraaj Group Companies A Total Of $315m For ...
Nigeria’s No1 Economy and Financial Information Hub & Scandals/DFSA-Fines-Two...
Internal correspondence showed that Abraaj group’s compliance function raised concerns about the group carrying on unauthorised financial services within the DIFC as early …
Abraaj: The Mother Of All Collapses Dragging Dubai & DIFC ...
30/07/2018 · The repercussions of the Abraaj collapse are also being felt in Karachi, Pakistan where one charitable foundation providing ambulance and other services being sponsored by Abraaj has almost...
Abraaj’s Naqvi to Face U.S. Charges After Losing Extradition
28/01/2021 · Abraaj Group’s Arif Naqvi lost a bid to fight his extradition to the U.S., another blow to the founder of what was once the Middle East’s largest private-equity fund....

Haya kazi kwako kilaza. Hakuna Wikipedia hapo ujue! 👆 👆 👆 😂 😂 😂 😂 😂
 
Mkuu tuwekee na habari ya kampuni ya Tanzania iliyopata mkataba wa nguvu kutoka Serikali ya Kenya.
Dah! Kama tukiendelea hivi basi naona tukienda mbali sana kwenye chumi za haya mataifa yetu, kupigana tafu kiuchumi pale panapostahiki, mama ameamua kutoendekeza chuki na kuachia kila mwenye jitihada na nia nzuri afanye yake....
======================

Kenyan companies have began reaping fruits from the agreement President Uhuru Kenyatta made with his Tanzanian counterpart Samia Suluhu.

In the latest conquest, Kilifi-based medical supplies company Revital Healthcare EPZ Limited has inked a deal with Tanzanian government estimated to be worth millions.

A report by Kenya News Agency (KNA) on Saturday, June 19, indicated that the company has been contracted to supply 11 million Covid-19 vaccine syringes.

The neighbouring government ordered the 2ml, 5ml and 10ml vaccine syringes.

President Uhuru Kenyatta and President Samia Suluhu at State House on May 4, 2021

PSCU
Revital Healthcare sales and market product development director Roneek Vora noted that it won the contract due to the agreement the two countries made in early May.

He further disclosed that in its range of 42 products, Tanzania consumes 11 while Uganda consumes 12 yet Kenyan government only buys 2.

“The Tanzanian market is now opening up. We have started to get a lot of enquiries for the Covid-19 test kits that we manufacture.

“We had a meeting with one of my suppliers in Tanzania who is now interested in placing orders for the Covid test kits, PPEs, surgical face masks, and other kits that we manufacture,” stated Vora.

Revital Healthcare EPZ is the only manufacturer of the Covid-19 test kits in Africa and is only among 66 in the world that have been approved to make the product.

Its core business is the manufacture of a range of Products including conventional single-use syringes and the UNICEF and WHO mandated Auto-Disable syringes aimed at lowering the transmission of infectious diseases such as HIV.

During Suluhu's visit, she signed a Ksh100 billion deal at State House witnessed by President Uhuru Kenyatta.
  • The deal was signed during a two-hour meeting between the two heads of state, which was followed by a joint address.
    The deal will see Tanzania construct a Ksh100 billion gas pipeline from Dar es Salaam to Mombasa.
    The 600-kilometre pipeline will pass through the port city of Tanga to Mombasa and will carry natural gas from the Songo Songo Island and from the Mnazi Bay gas fields in southern Tanzania near the border with Mozambique.
    President Uhuru Kenyatta leading Kenya's delegation during the signing of the MOU's on natural gas transportation's delegation during the signing of the MOU's on natural gas transportation

    President Uhuru Kenyatta leading Kenya's delegation during the signing of the MOU's on natural gas transportation
    PSCU
 
Mbona uko mnyonge hivyo? Unahitaji dhaawa yangu inaonekana! Haya eka trako vizuri ukamate hii kitu... 💉💉💉👇👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Abraaj Group’s Partners: Where Are They Now?
The Abraaj Group Scandal | Sell Side Handbook
The Abraaj Group, a Dubai-based private equity firm, is a narrative of success turned dark comedy.
Abraaj CEO Charged With Fraud in U.S. After Firm's ...
The Abraaj Group, which collapsed last year in the world’s biggest private-equity insolvency, were arrested on U.S. charges of defrauding investors...
How Did The Abraaj Group Lose Everything? » ProperGaanda
The Abraaj Group was a private equity firm operating in six continents, known for its diverse portfolio which included education, healthcare, construction, material, banking, transport, etc....
DFSA Fines Two Abraaj Group Companies A Total Of $315m For ...
Nigeria’s No1 Economy and Financial Information Hub & Scandals/DFSA-Fines-Two...
Internal correspondence showed that Abraaj group’s compliance function raised concerns about the group carrying on unauthorised financial services within the DIFC as early …
Abraaj: The Mother Of All Collapses Dragging Dubai & DIFC ...
30/07/2018 · The repercussions of the Abraaj collapse are also being felt in Karachi, Pakistan where one charitable foundation providing ambulance and other services being sponsored by Abraaj has almost...
Abraaj’s Naqvi to Face U.S. Charges After Losing Extradition
28/01/2021 · Abraaj Group’s Arif Naqvi lost a bid to fight his extradition to the U.S., another blow to the founder of what was once the Middle East’s largest private-equity fund....

Haya kazi kwako kilaza. Hakuna Wikipedia hapo ujue! 👆 👆 👆 😂 😂 😂 😂 😂
Mzee unaniletea mtandao wa propaganda upo vizuri kweli kichwani!?
Ondoa wehu mzee.
 
Mimi naogopa wakenya sana, they’re JamiiForums smart, I think I saw it somewhere KIkuyu people from Kenya are smartest in Africa just behind Igbo people from Nigeria , any business with these people must be throughly investigated before proceedings... samahani km nawakwaza, napitia tuuu....lol
Wacha wakenya, mtu yeyote mwenye exposure kubwa ya biashara kukushinda, ukiwa unafanya naye deal, ukikaa vibaya anakuchota tu, sababu kama huelewi kitu, watarajia nini? Hii ni dunia, without being smart, basi level yako itabakia kuwa ya chini, level ya juu hutawahi kuiweza kabisa. Na hapo sasa ndio kunatofautisha investors/business people wakubwa na wanabiashara wa kawaida, humu duniani. ✌️
 
Back
Top Bottom