Asante mama Samia Suluhu, kampuni ya Kenya yapokezwa mkataba wa mabilioni Tanzania

Asante mama Samia Suluhu, kampuni ya Kenya yapokezwa mkataba wa mabilioni Tanzania

Wacha wakenya, mtu yeyote mwenye exposure kubwa ya biashara kukushinda, ukiwa unafanya naye deal, ukikaa vibaya anakuchota tu, sababu kama huelewi kitu, watarajia nini? Hii ni dunia, without being smart, basi level yako itabakia kuwa ya chini, level ya juu hutawahi kuiweza kabisa. Na hapo sasa ndio kunatofautisha investors/business people wakubwa na wanabiashara wa kawaida, humu duniani. ✌️
Wakenya wezi.
 
Hicho kiwanda kina supply vifaa tiba kwa nchi mbali mbali duniani kupitia mradi wa Covax. Hivyo ni shavu la WHO hilo.. Na sio juhudi za Kenya maana hicho kiwanda ni branch from India na sehemu zingine duniani huko.
Nyinyi mnafeli wapi kupata shavu hilo
 
Mkuu tuwekee na habari ya kampuni ya Tanzania iliyopata mkataba wa nguvu kutoka Serikali ya Kenya.

Inapaswa pafanyike lobbying walau na Kenya ipokeze mkataba kwa Watanzania, ila vipi si tutanunua gesi ya mabilioni kutoka kwenu?
 
Dah! Kama tukiendelea hivi basi naona tukienda mbali sana kwenye chumi za haya mataifa yetu, kupigana tafu kiuchumi pale panapostahiki, mama ameamua kutoendekeza chuki na kuachia kila mwenye jitihada na nia nzuri afanye yake....
======================

Kenyan companies have began reaping fruits from the agreement President Uhuru Kenyatta made with his Tanzanian counterpart Samia Suluhu.

In the latest conquest, Kilifi-based medical supplies company Revital Healthcare EPZ Limited has inked a deal with Tanzanian government estimated to be worth millions.

A report by Kenya News Agency (KNA) on Saturday, June 19, indicated that the company has been contracted to supply 11 million Covid-19 vaccine syringes.

The neighbouring government ordered the 2ml, 5ml and 10ml vaccine syringes.

President Uhuru Kenyatta and President Samia Suluhu at State House on May 4, 2021

President Uhuru Kenyatta and President Samia Suluhu at State House on May 4, 2021
PSCU
Revital Healthcare sales and market product development director Roneek Vora noted that it won the contract due to the agreement the two countries made in early May.

He further disclosed that in its range of 42 products, Tanzania consumes 11 while Uganda consumes 12 yet Kenyan government only buys 2.


“The Tanzanian market is now opening up. We have started to get a lot of enquiries for the Covid-19 test kits that we manufacture.

“We had a meeting with one of my suppliers in Tanzania who is now interested in placing orders for the Covid test kits, PPEs, surgical face masks, and other kits that we manufacture,” stated Vora.

Revital Healthcare EPZ is the only manufacturer of the Covid-19 test kits in Africa and is only among 66 in the world that have been approved to make the product.

Its core business is the manufacture of a range of Products including conventional single-use syringes and the UNICEF and WHO mandated Auto-Disable syringes aimed at lowering the transmission of infectious diseases such as HIV.

During Suluhu's visit, she signed a Ksh100 billion deal at State House witnessed by President Uhuru Kenyatta.
  • The deal was signed during a two-hour meeting between the two heads of state, which was followed by a joint address.
    The deal will see Tanzania construct a Ksh100 billion gas pipeline from Dar es Salaam to Mombasa.
    The 600-kilometre pipeline will pass through the port city of Tanga to Mombasa and will carry natural gas from the Songo Songo Island and from the Mnazi Bay gas fields in southern Tanzania near the border with Mozambique.
    President Uhuru Kenyatta leading Kenya's delegation during the signing of the MOU's on natural gas transportation's delegation during the signing of the MOU's on natural gas transportation

    President Uhuru Kenyatta leading Kenya's delegation during the signing of the MOU's on natural gas transportation
    PSCU
Jamani eeeee. Ni makampuni ya Kenya? Au no makampuni yaliyosajiliwa kenya? Naona ni wazungu na wahindi ndiyo wanaonekana kwenye ofili zao......
 
Wacha wakenya, mtu yeyote mwenye exposure kubwa ya biashara kukushinda, ukiwa unafanya naye deal, ukikaa vibaya anakuchota tu, sababu kama huelewi kitu, watarajia nini? Hii ni dunia, without being smart, basi level yako itabakia kuwa ya chini, level ya juu hutawahi kuiweza kabisa. Na hapo sasa ndio kunatofautisha investors/business people wakubwa na wanabiashara wa kawaida, humu duniani. [emoji3577]
Tanzania wamewasha Hazard my frnd. Pisha njia
 
Back
Top Bottom