Asante mama Samia Suluhu, kampuni ya Kenya yapokezwa mkataba wa mabilioni Tanzania

Wakenya wezi.
 
Hicho kiwanda kina supply vifaa tiba kwa nchi mbali mbali duniani kupitia mradi wa Covax. Hivyo ni shavu la WHO hilo.. Na sio juhudi za Kenya maana hicho kiwanda ni branch from India na sehemu zingine duniani huko.
Nyinyi mnafeli wapi kupata shavu hilo
 
Mkuu tuwekee na habari ya kampuni ya Tanzania iliyopata mkataba wa nguvu kutoka Serikali ya Kenya.

Inapaswa pafanyike lobbying walau na Kenya ipokeze mkataba kwa Watanzania, ila vipi si tutanunua gesi ya mabilioni kutoka kwenu?
 
Jamani eeeee. Ni makampuni ya Kenya? Au no makampuni yaliyosajiliwa kenya? Naona ni wazungu na wahindi ndiyo wanaonekana kwenye ofili zao......
 
Tanzania wamewasha Hazard my frnd. Pisha njia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…