Una hakika kuwa hao wengine wana mahusiano na mbowe au walipandikizwa tu ili waweze kumuumiza mbowe.Chadema wanakamilisha ule msemo unaosema "kila mchuma janga hula na wa kwao" Hao wanaompa maji Mbowe wengi ni wanafamilia wake, sasa hao wenzangu na mimi waliorubuniwa na zile laki 6 jasho litawatoka. Ndio maana huku mtaani anaezungumziwa ni yeye tu sio wao.
Mungu hajawai kuumba mahabusu kaumba watu na watu ni utu. Haiwezekani mjazane mahakamani na mnashindwa kumpa binadamu mwenzenu maji halafu mnanuna mafulana ya KATIBA MPYA. Maji kwani ni shs ngapi mkuu? ni shs ngapi?
Ahahahahahahahahah! Imenikumbusha wakati wa kupiga kura! Mawakala wa Chadema hawapewagi chai wala chakula kuanzia saa kumi na mbili aaubuhi wanaripoti hadi saa moja usiku wakati wa kugoa matangazo! Halafu wanakuja mitandaoni eti wameibiwa kura! PUMBAVU!!!Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine
Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? wapeni Maji wanywe,Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote
Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
Wanatoboa chini wanaweka Konyagi kwa kutumia sindano[emoji23][emoji23]Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine
Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? wapeni Maji wanywe,Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote
Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
Umeelewa maana ya hayo maneno niliyoweka rangi nyekundu?Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine
Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? wapeni Maji wanywe,Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote
Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine
Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? wapeni Maji wanywe,Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote
Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
Ona hii mbuzi unajua ni mtuhumiwa gani alopewa maji ?Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine
Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? wapeni Maji wanywe,Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote
Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
Wewe hujui sheria wala huelewi kinachoendelea sasa hivi mahakamani.Hoja ya msingi sana.
Pengine ni bendera fata upepo.
Hata kwenye kesi hii wanozungumziwa sana ni hao wenzangu na mimi
Bosssss haguswi
Mbona umesahau kuhusu mtuhumiwa mmoja kuachwa kufungwa pingu???Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine
Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? wapeni Maji wanywe,Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote
Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
Nyumbu hawawezi kuelewa.Ahahahahahahahahah! Imenikumbusha wakati wa kupiga kura! Mawakala wa Chadema hawapewagi chai wala chakula kuanzia saa kumi na mbili aaubuhi wanaripoti hadi saa moja usiku wakati wa kugoa matangazo! Halafu wanakuja mitandaoni eti wameibiwa kura! PUMBAVU!!!
Mawakala wa kituo gani,nilikuwa wakala na nilikunywa chai na lunch ,usikate viuno humu kufurahisha watuAhahahahahahahahah! Imenikumbusha wakati wa kupiga kura! Mawakala wa Chadema hawapewagi chai wala chakula kuanzia saa kumi na mbili aaubuhi wanaripoti hadi saa moja usiku wakati wa kugoa matangazo! Halafu wanakuja mitandaoni eti wameibiwa kura! PUMBAVU!!!
Labda ulijinunulia na ni jambo jema. Nimeshiriki Chaguzi Kuu za 2005, 2010, 2015 na 2020 kwa ngazi za udiwani na ubunge. Naelewa ninachosema Dogo Viol.Mawakala wa kituo gani,nilikuwa wakala na nilikunywa chai na lunch ,usikate viuno humu kufurahisha watu
Mkuu kituo Jimbo letu kwa huku dar chai na lunch ilikwepoLabda ulijinunulia na ni jambo jema. Nimeshiriki Chaguzi Kuu za 2005, 2010, 2015 na 2020 kwa ngazi za udiwani na ubunge. Naelewa ninachosema Dogo Viol.
Yasijekuwa machozi ya simba au supu ya mate, mkemia mkuu ayakagueKwa hiyo wameweka k vant?.. au ni suala upendeleo kwa mtu mmoja.
Ktk hii kesi mengi tutasikia...
Mana yake CHADEMA wanaojazana mahakamani wawape maji Mbowe na walinzi wake lakini kwanza yakaguliwe na magereza. HIVYO:-Umeelewa maana ya hayo maneno niliyoweka rangi nyekundu?
Mbona hukuwalaani Polisi waliowatesa washtakiwa kwa kuwalazimisha WAKILI Makosa kweli Akili ni nywele hata mwehu anazoKibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine.
Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? Wapeni Maji wanywe, Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote.
Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?