Asante Mh. Jaji Siyami kwa kuwaumbua CHADEMA; wanampa Mbowe tu maji na kuwanyima walinzi wake huku wakiwa wamejazana mahakamani

Chadema wanakamilisha ule msemo unaosema "kila mchuma janga hula na wa kwao" Hao wanaompa maji Mbowe wengi ni wanafamilia wake, sasa hao wenzangu na mimi waliorubuniwa na zile laki 6 jasho litawatoka. Ndio maana huku mtaani anaezungumziwa ni yeye tu sio wao.
Una hakika kuwa hao wengine wana mahusiano na mbowe au walipandikizwa tu ili waweze kumuumiza mbowe.

Komandoo hafukuzwi kazi kama wewe kibaka,
 
Mtu wa maana CHADEMA kabaki JJ Mnyika tu jidooogo na Tundu Lissu. Wengine ni takataka tu.
 
Mungu hajawai kuumba mahabusu kaumba watu na watu ni utu. Haiwezekani mjazane mahakamani na mnashindwa kumpa binadamu mwenzenu maji halafu mnanuna mafulana ya KATIBA MPYA. Maji kwani ni shs ngapi mkuu? ni shs ngapi?

Unajua utaratibu wa kumpatia mahabusu kitu chochote?

Leo unasema Mungu hajaumba mahabusu, basi wakumbushe na hao dhulumati kuwaachia huru.
 
Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine

Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? wapeni Maji wanywe,Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote

Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
Ahahahahahahahahah! Imenikumbusha wakati wa kupiga kura! Mawakala wa Chadema hawapewagi chai wala chakula kuanzia saa kumi na mbili aaubuhi wanaripoti hadi saa moja usiku wakati wa kugoa matangazo! Halafu wanakuja mitandaoni eti wameibiwa kura! PUMBAVU!!!
 
Wanatoboa chini wanaweka Konyagi kwa kutumia sindano[emoji23][emoji23]
 
Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine

Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? wapeni Maji wanywe,Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote

Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
Umeelewa maana ya hayo maneno niliyoweka rangi nyekundu?
 
Ona hii mbuzi unajua ni mtuhumiwa gani alopewa maji ?
Only child can post this .
 
Hoja ya msingi sana.

Pengine ni bendera fata upepo.

Hata kwenye kesi hii wanozungumziwa sana ni hao wenzangu na mimi
Bosssss haguswi
Wewe hujui sheria wala huelewi kinachoendelea sasa hivi mahakamani.
Ila kwasasa kinachoendelea ni kesi ndogo juu ya kesi ya msingi ilioibuliwa ni mawakili wa utetezi kuhusu kuteswa kwa mshtakiwa wa 1,2 na 3 tu, wa 4( Mbowe) hatajwi kwenye kesi ndogo kwa vile kwenye kuteswa hakuwemo.
 
Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine

Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? wapeni Maji wanywe,Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote

Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
Mbona umesahau kuhusu mtuhumiwa mmoja kuachwa kufungwa pingu???
 
Hivi yule kamanda aliyekamatwa ile siku, wakili Kibatala akawa anamtuliza kuwa asiwe na wasiwasi watamtoa vipi wameshamtoa au bado ananyea ndoo?
 
Ahahahahahahahahah! Imenikumbusha wakati wa kupiga kura! Mawakala wa Chadema hawapewagi chai wala chakula kuanzia saa kumi na mbili aaubuhi wanaripoti hadi saa moja usiku wakati wa kugoa matangazo! Halafu wanakuja mitandaoni eti wameibiwa kura! PUMBAVU!!!
Nyumbu hawawezi kuelewa.
 
Mawakala wa kituo gani,nilikuwa wakala na nilikunywa chai na lunch ,usikate viuno humu kufurahisha watu
 
Labda ulijinunulia na ni jambo jema. Nimeshiriki Chaguzi Kuu za 2005, 2010, 2015 na 2020 kwa ngazi za udiwani na ubunge. Naelewa ninachosema Dogo Viol.
 
Mkuu kituo Jimbo letu kwa huku dar chai na lunch ilikwepo
 
Umeelewa maana ya hayo maneno niliyoweka rangi nyekundu?
Mana yake CHADEMA wanaojazana mahakamani wawape maji Mbowe na walinzi wake lakini kwanza yakaguliwe na magereza. HIVYO:-
1. Kazi ya Wanachadema ni kutoa maji
2. Kazi ya Magereza ni kuyakagua maji.
 
Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine.

Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? Wapeni Maji wanywe, Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote.

Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
Mbona hukuwalaani Polisi waliowatesa washtakiwa kwa kuwalazimisha WAKILI Makosa kweli Akili ni nywele hata mwehu anazo

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom