Una hakika kuwa hao wengine wana mahusiano na mbowe au walipandikizwa tu ili waweze kumuumiza mbowe.Chadema wanakamilisha ule msemo unaosema "kila mchuma janga hula na wa kwao" Hao wanaompa maji Mbowe wengi ni wanafamilia wake, sasa hao wenzangu na mimi waliorubuniwa na zile laki 6 jasho litawatoka. Ndio maana huku mtaani anaezungumziwa ni yeye tu sio wao.
Komandoo hafukuzwi kazi kama wewe kibaka,