Ifike mahali vyuo vianze kuwanyang'anya vyeti wasomi ambao hawatendei haki taaluma zao.Kwa kweli kama ni jambo la kumshukuru Mungu basi ni kwa kutufunulia ukihiyo wa huyu mzee. Wengi tuliamini visivyo.
Huyu mzee ukimjumlisha na wenzake kama kina Ibrahim Juma ambaye pasi na shaka tulikuwa tunamjua, kwa kweli wote ni wale wale.
Ripoti aliyotoa na anayoitetea ni kinyume kabisa cha taaluma yake ila bado anashupaza shingo. Kwa ujumla amepoteza sana kwa hili.
Unatoaje ufafanuzi kwa watu kwa kitu wasichokijua? Huu si ndiyo ukihiyo wenyewe? Mbona utetezi mwingi sana? Hakika Mungu ni mkuu.
Zuzu moja hivi anayepoteza credibility uzeeni.
Mkuu ndiyo watu wajue Tanzania inaongozwa na watu gani. Hii nchi kuna tabia ya ku-overate ''wasomi'' na kusifia ni vichwa kumbe hawana lolote. Kwa nini Wariaoba hakuchaguliwa kwenye hii tume? Kwa sababu Warioba na msomi wa kweli, na msomi wa kweli hangekubali kuongoza tume ambayo anajua kabisa hatakuwa huru kufanya kazi yake.Kwa kweli kama ni jambo la kumshukuru Mungu basi ni kwa kutufunulia ukihiyo wa huyu mzee. Wengi tuliamini visivyo.
Huyu mzee ukimjumlisha na wenzake kama kina Ibrahim Juma ambaye pasi na shaka tulikuwa tunamjua, kwa kweli wote ni wale wale.
Ripoti aliyotoa na anayoitetea ni kinyume kabisa cha taaluma yake ila bado anashupaza shingo. Kwa ujumla amepoteza sana kwa hili.
Unatoaje ufafanuzi kwa watu kwa kitu wasichokijua? Huu si ndiyo ukihiyo wenyewe? Mbona utetezi mwingi sana? Hakika Mungu ni mkuu.
Wasomi haswa wa sheria ifike mahaki waachwe kufanywa toilet papers za serikali. Maana kwa style hii wasomi kujitoa akili soo. Elimu itaonekana haona maana