Asante Rais Samia kufufua utalii mahoteli, Sasa hivi yanaogelea faida. Kipindi cha Magufuli utalii ulikuwa umekufa

Hata kama wangekuwepo wote 100% swala la msingi ni uongozi na mtizamo wa kiongozi wao kipindi hicho.
 

Suala la watalii halitegemei uongozi. Bali hali ya afya na uchumi kwa ujumla.
 
Huwezi mtenganisha Samia na ubovu wa uongozi wa Magufuli maana ndiye alikua msaidizi wake namba 1.

Chochote kilichofanyika awamu ya tano Rais wa sasa ni sehemu yake iwe baya au zuri.
VP sio mtendaji kwa nafasi yake,Rais na PM ndio wahusika wakuu.
 
Wapiga zumari wa Mandarin

Mtatumika sana kwenye kuwapaisha wenzenu maana nyota zenu ni PUNDA.
Ikiuma unachomoa tu kwanini uteseke wakati kaburi la baba liko hapo chato tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…