Asante Rais Samia kufufua utalii mahoteli, Sasa hivi yanaogelea faida. Kipindi cha Magufuli utalii ulikuwa umekufa

Asante Rais Samia kufufua utalii mahoteli, Sasa hivi yanaogelea faida. Kipindi cha Magufuli utalii ulikuwa umekufa

Sijui una maana gani kwa kauli yako maana more than 85% ya viongozi wa sasa walikua awamu iliyopita.

Rais alikua VP , VP alikua Finance Minister, PM yule yule. Mawaziri walikuwepo pia.

Unaposema awamu ya 5 haiaminiki unamaanisha kwamba tusiwaamini hawa wa sasa pia maana ni wale wale tu.
Hata kama wangekuwepo wote 100% swala la msingi ni uongozi na mtizamo wa kiongozi wao kipindi hicho.
 
Asante mama kila unachoshika kinazaa matunda bila ubabe Wala mbwembwe za eti kishindo Cha jpm tofauti mtangulizi wako ambaye kitu kidogo tu kelele nyingi.

Tumeona watalii wanavyomwagika nchini na bila shaka watanzania vinana maskini wameanza kuona umuhimu wako baada ya kilazimishwa kuwa machinga kana kwamba ulisoma kwa kujiandaa kuja kuwamachinga.

Pili uwekezaji umeongeza Sana kiasi ambacho mabank Sasa yanaajiri vijana na ajira zimeanza kumwagika Sana Tena kwa kasi.

Bado kitu kimoja tu, ajiri walimu na madactari ambao wametelekezwa miaka mitano na kuambiwa wakiajiri wakileta za kuletwa wanapotezwa na kutekwa na watu wasiojulikana.

Thank you mama.

Suala la watalii halitegemei uongozi. Bali hali ya afya na uchumi kwa ujumla.
 
Huwezi mtenganisha Samia na ubovu wa uongozi wa Magufuli maana ndiye alikua msaidizi wake namba 1.

Chochote kilichofanyika awamu ya tano Rais wa sasa ni sehemu yake iwe baya au zuri.
VP sio mtendaji kwa nafasi yake,Rais na PM ndio wahusika wakuu.
 
Wapiga zumari wa Mandarin

Mtatumika sana kwenye kuwapaisha wenzenu maana nyota zenu ni PUNDA.
Ikiuma unachomoa tu kwanini uteseke wakati kaburi la baba liko hapo chato tu?
 
Back
Top Bottom