Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
We ni mkurupukajiWakipinga na hii basi watakuwa na jambo lao tu,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni mkurupukajiWakipinga na hii basi watakuwa na jambo lao tu,,
Mkuu Retired , kama kutukana watu rubbish makes you happy, be happy!, huu uchomekeaji wa ubatili kwenye sheria zetu ulifanywa kipindi cha Mwinyi, kisha ubatili huo ukaja kuchomekewa kwenye katiba yetu kipindi cha Mkapa, tumepiga kelele sana kipindi cha JK, nothing was changed!. Tukapiga sana kelele kipindi cha JPM, nothing was changed!. Kitendo cha Mama kukubali tuu kuleta mabadiliko ya sheria, kinastahili pongezi. Tuwe watu wa shukrani Tujifunze kuwa na Shukrani kwa Madogo ili Tupatiwe Makubwa!. Japo Tulitaka Kikubwa, Tumepewa Kiduchu!, Tukipokee Tushukuru, au Tususe Kudai Kikubwa?.Rubbish, unashukuru nini? Unashukuru haki yako kutoka kwa jangili aliyekupora? Stupid all business so far(alisema Samia)
Well Adv MayallaMkuu Retired , kama kutukana watu rubbish makes you happy, be happy!, huu uchomekeaji wa ubatili kwenye sheria zetu ulifanywa kipindi cha Mwinyi, kisha ubatili huo ukaja kuchomekewa kwenye katiba yetu kipindi cha Mkapa, tumepiga kelele sana kipindi cha JK, nothing was changed!. Tukapiga sana kelele kipindi cha JPM, nothing was changed!. Kitendo cha Mama kukubali tuu kuleta mabadiliko ya sheria, kinastahili pongezi. Tuwe watu wa shukrani Tujifunze kuwa na Shukrani kwa Madogo ili Tupatiwe Makubwa!. Japo Tulitaka Kikubwa, Tumepewa Kiduchu!, Tukipokee Tushukuru, au Tususe Kudai Kikubwa?.
Jifunze kuwa na shukrani, shukuru kwa yote!
Shukuru kwa mazuri, shukuru hata kwa mabaya na kumwachia Mungu.
P
Hii ni zawadi yangu kwa Birthday ya Mama leo, nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,Wanabodi,
Muswada huu unatunga Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka, 2023. Kwa ujumla, Sheria hii inaunganisha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 na Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292. Hivyo sasa masharti ya uchaguzi wa Rais na Wabunge na Madiwani ni sheria moja na kutekelezwa na mamlaka moja ambayo ni Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Hapa ninapendekeza chaguzi zote nchini, uchaguzi wa Rais na Wabunge, Madiwani na Serikali za Mitaa, ufanyike siku moja na kusimamiwa na Tume moja Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Hili ni jambo jema!.
Paskali.