Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Na wewe unacomment hapo hapo?Miaka 5 iliyopita ambayo Samia alikuwa makamu wa rais?
Ndiyo maana tumeporomoka kutoka uchumi wa kati.
Tunatumia muda mwingi kujadili ujinga
Hatujawahi kuingia uchumi wa Kati zile zilikuwa fix za jpm ndo Mana alivifungia vyombo vya habari ili visidadisi huo uchumi umetoka wapi wakato hujawahi kutoa ajira Wala kuongeza mishahara ya wafanyakaziMiaka 5 iliyopita ambayo Samia alikuwa makamu wa rais?
Ndiyo maana tumeporomoka kutoka uchumi wa kati.
Tunatumia muda mwingi kujadili ujinga
Upo sahihi kabisaMiaka 5 iliyopita ambayo Samia alikuwa makamu wa rais?
Ndiyo maana tumeporomoka kutoka uchumi wa kati.
Tunatumia muda mwingi kujadili ujinga
Alikuwa ni mbabe wa hovyo snHatujawahi kuingia uchumi wa Kati zile zilikuwa fix za jpm ndo Mana alivifungia vyombo vya habari ili visidadisi huo uchumi umetoka wapi wakato hujawahi kutoa ajira Wala kuongeza mishahara ya wafanyakazi
La 4CNaomba mnisaidie kitu kimoja kwa kuangalia mwandishi wa huu Uzi atakuwa ameishia darasa la ngapi?
Nani anaueteseka kwa sasaKushikwa mkono na mjomba'ako kwenye hiko kitengo cha ufagizi hapo ofisini kwake usifikiri kila mtu ana nafasi hiyo.
Huyo unayemsifia hana anachoweza kufanya akawasaidia wasomi wa nchi hii wanaoteseka mitaani.
😀😀Naomba mnisaidie kitu kimoja kwa kuangalia mwandishi wa huu Uzi atakuwa ameishia darasa la ngapi?