Asante Samia kwa kukuza Chadema na kufanya kiwe chama cha Watanzania wote

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Pamoja na mabaya mengi ya Samia amesaidia kwa kiasi kikubwa kuwakuza viongozi wa Chadema na kukuza chama. Kitendo cha Chadema kutokuingia kwenye chaguzi fake zimeonyesha walikuwa sawa na ukweli Watanzania wanakubaliana nao. Yaani Samia alifanya makosa makubwa sana kupuuza Ushauri kabla ya uchaguzi.

Pili wote Lissu na Heche sasa ni viongozi mashujaa wa Kitanzania na wanajulikana mpaka huko nje na kukubalika kuliko hata zamanj. Pesa pekee haitoshi kununua kukubaliwa kwa watu

Tunashukuru sana sana tumefika sehemu ambayo ubaya wote wa serikali na vyombo uko wazi na hawawezi hata siku mmoja kushinda wananchi
 
Chadomo msipojitafakari na badala yake mkaendelea na ugaidi wenu, tutawafutia usajili muda siyo mrefu.

Mama ameshinda uchaguzi halali na wa haki kwa kishindo yaani 98%

Eti mnajisifia mnapendwa, mnapendwa kwani nyie ni mademu ???
 
CCM walizoea kuitumia chadema kama mwamvuli wa kuhalalisha maovu yao na chaguzi zao haramu wakitumia ushiriki wa chadema kama stamp muhimu ya kuonyesha kuwa tawala haramu kwa awamu zote zilizopita zilichaguliwa na wananchi kwa sababu tu chadema walishiriki ..

Lakini mpaka wakati huu kila kitu kiko wazi na wananchi wamesuhudia mabaya ya hiki chama haramu.
 
Ugaidi wa mama yako.
Ni lini mahakama zetu ambazo zimeoza zimewahi kuthibitisha kuwa wanachama au viongozi wa CHADEMA ni magaidi?.
 
Sahihi kabisa, either kwa kujua au kutokujua matendo yake yameikuza na kuifanya Chadema kuwa chama chenye kukubalika na jamii na kukifanya ccm kuwa chama Cha hovyo na kisichokubalika zaidi na wananchi
 
Chadomo msipojitafakari na badala yake mkaendelea na ugaidi wenu, tutawafutia usajili muda siyo mrefu.

Mama ameshinda uchaguzi halali na wa haki kwa kishindo yaani 98%

Eti mnajisifia mnapendwa, mnapendwa kwani nyie ni mademu ???
Acha kashifa. Free dom is loading
 
Pamoja na mabaya mengi ya Samia amesaidia kwa kiasi kikubwa kuwakuza viongozi wa Chadema na kukuza chama. Kitendo cha Chadema kutokuingia kwenye chaguzi fake zimeonyesha walikuwa sawa na ukweli Watanzania wanakubaliana nao. Yaani Samia alifanya makosa makubwa sana kupuuza Ushauri kabla ya uchaguzi.

Pili wote Lissu na Heche sasa ni viongozi mashujaa wa Kitanzania na wanajulikana mpaka huko nje na kukubalika kuliko hata zamanj. Pesa pekee haitoshi kununua kukubaliwa kwa watu

Tunashukuru sana sana tumefika sehemu ambayo ubaya wote wa serikali na vyombo uko wazi na hawawezi hata siku mmoja kushinda wananchi
Cc. @lucasmashambwa
 
Chadomo msipojitafakari na badala yake mkaendelea na ugaidi wenu, tutawafutia usajili muda siyo mrefu.

Mama ameshinda uchaguzi halali na wa haki kwa kishindo yaani 98%

Eti mnajisifia mnapendwa, mnapendwa kwani nyie ni mademu ???
Utakuwa unatumia tundu ya haja kubwa kufikiri
 
Hii
Ugaidi wa mama yako.
Ni lini mahakama zetu ambazo zimeoza zimewahi kuthibitisha kuwa wanachama au viongozi wa CHADEMA ni magaidi?.
[/QUOTE Hiyo Avant yako inatuchanganya mkuu hata hatukuelewi kabisa au ndio kwenye msafala wa mamba Nini?
 
CCM walizoea kuitumia chadema kama mwamvuli wa kuhalalisha maovu yao na chaguzi zao haramu wakitumia ushiriki wa chadema kama stamp muhimu ya kuonyesha kuwa tawala haramu kwa awamu zote zilizopita zilichaguliwa na wananchi kwa sababu tu chadema walishiriki ..

Lakini mpaka wakati huu kila kitu kiko wazi na wananchi wamesuhudia mabaya ya hiki chama haramu.
CCM ndiyo chama dume Afrika na cha pili duniani baada CCP cha China.

Kwa hapa nchini 98% ya watanzania, mjini na vijijini, CCM ndiyo kipenzi chao.

Vyama masalia kama: chadomo, chama cha kugawa ubwabwa—chaumma au hata kile cha mpenda mshiko—ACT Kasulu vyote ni NGOs za kupiga hela za maskini kupitia michango isiyoisha.

Ndani ya miaka mitano iliyopita, Serikali ya CCM ikiongozwa na Dr. Samia Suluhu Hassan (PhD) inefanya mambo mengi ya kupigiwa mfano dunuani.

1. Tumaliza kujenga SGR kwenda mwanza na kigoma

2. Tumemaliza kujenga bwawa la umeme la stigla goji. Yaani kwa sasa kila nyumba hata mapagale yana umeme.

3. Tumenunua ndege mupya ya mizigo Boeing 767— inasafirisha hadi nguruka kwenda ulaya

4. Lami kila mahali hadi kwenye vitongoji

5. Elimu bure kuanzia chekechea hadi form shikshi

6. Vifaa tiba: xray, ct scan, mri etc na dawa kila hosipitali hadi kwenye dishipensary

7. Mikopo ya Hesb imeongezwa hadi 10trn kwa mwaka. Kwa sasa Mwanafunzi akikosa mkopo labda ni mchawi

8. Kila kiongozi wenu ana LC 500 mupya ya kutanulia mitaani

9. Wafanyakazi wanakenyua tu baada ya kungezewa mishahara yao zaidi ya 150%

Hebu niambieni chadomo wangeweza hata kuchimba kisima cha ulfu arabaini?
 
Back
Top Bottom