CCM walizoea kuitumia chadema kama mwamvuli wa kuhalalisha maovu yao na chaguzi zao haramu wakitumia ushiriki wa chadema kama stamp muhimu ya kuonyesha kuwa tawala haramu kwa awamu zote zilizopita zilichaguliwa na wananchi kwa sababu tu chadema walishiriki ..
Lakini mpaka wakati huu kila kitu kiko wazi na wananchi wamesuhudia mabaya ya hiki chama haramu.
CCM ndiyo chama dume Afrika na cha pili duniani baada CCP cha China.
Kwa hapa nchini 98% ya watanzania, mjini na vijijini, CCM ndiyo kipenzi chao.
Vyama masalia kama: chadomo, chama cha kugawa ubwabwa—chaumma au hata kile cha mpenda mshiko—ACT Kasulu vyote ni NGOs za kupiga hela za maskini kupitia michango isiyoisha.
Ndani ya miaka mitano iliyopita, Serikali ya CCM ikiongozwa na Dr. Samia Suluhu Hassan (PhD) inefanya mambo mengi ya kupigiwa mfano dunuani.
1. Tumaliza kujenga SGR kwenda mwanza na kigoma
2. Tumemaliza kujenga bwawa la umeme la stigla goji. Yaani kwa sasa kila nyumba hata mapagale yana umeme.
3. Tumenunua ndege mupya ya mizigo Boeing 767— inasafirisha hadi nguruka kwenda ulaya
4. Lami kila mahali hadi kwenye vitongoji
5. Elimu bure kuanzia chekechea hadi form shikshi
6. Vifaa tiba: xray, ct scan, mri etc na dawa kila hosipitali hadi kwenye dishipensary
7. Mikopo ya Hesb imeongezwa hadi 10trn kwa mwaka. Kwa sasa Mwanafunzi akikosa mkopo labda ni mchawi
8. Kila kiongozi wenu ana LC 500 mupya ya kutanulia mitaani
9. Wafanyakazi wanakenyua tu baada ya kungezewa mishahara yao zaidi ya 150%
Hebu niambieni chadomo wangeweza hata kuchimba kisima cha ulfu arabaini?