Asante sana Bernard Kammilius Membe, Una kichwa kikali na ni mzalendo wa kweli


Amsehindwa nini kusubiri mkutano mkuu?
Mbona alisema yeye bado ni mwanachama na ansubili mkutano mkuu ndo apate maamuzi ya mwisho?
Mfa maji haishi kutapatapa, jana kasema hili leo kaja na lingine, hayo yote anahangaika ili vyama pinzani vimuone anafaa, mara arudishe kadi na kuandika barua kwa kushukuru, kwani angekaa kimya bila kushukuru ingekuwaje?

1 anataka siku akishindwa huo arudi CCM?
2anataka kuonyesha upinzani kuwa kahama CCM?
Membe hataaminika kama anavyodhni na upinzani,
kinachotakiwa ale nao mkataba kuwa endapo atawaongezea wabunge basi wawe wanamlipa sehemu ya ruzuku kwa kazi aliyofanya.
 

Una haki ya kuwa skeptical

Lakini siyo alli situations are the same.
Siasa siyo linear kwamba lazima points zote zikae ndani ya msitari mmoja, kwa hiyo huwezi kutabiri upinzani utakuwaje nyakati za Membe kwa kuangalia ulikuwaje nyakati za Lowasa!

Membe na Lowasa ni watu wawili tofauti!
 
...nakubaliana na wewe kwa kila kitu kuhusu huyu mwamba -Member,.ila wampokee kama member asipewe nafasi ya kugombea urais.

Lissu akipeperusha bendera ya urais -kina Membe &co.wawe benchi la ufundi na fitina za kumtoa jiwe.

...otherwise-naunga mkono hoja
 
Vyama vya siasa bongo vipo kama club za mpira, wanasajili wachezaji kutoka timu pinzani, cha msingi timu ishinde. Je Ben ni kama Messi au Kagere? October itatupa majibu
 

Nikueleze kitu boss, hakikisha kama hujamaliza nyumba yako, malizia kipindi hiki cha Membe. Ujinga ni wakati wa kwenda sio wa kurudi. Yaliyotokea kwa Lowassa, ni mjinga tu atashindwa kujifunza.
 
Bujibuji fala Sana eti kama Majeshi ya Tz yalienda Hadi Sudan ili yateke Kampala, kwanini Membe asiende Kenya 🇰🇪 kugjipanga ili achukue nchi?
Magu na Kenyatta urafiki wao Ni tausi tu🦃🦃🦃🦃
 
Chama chochote cha siasa mtaji wake ni watu, hivyo mimi naona chama kukataa kupokea mtu fulani kwa sababu nyepesi nyepesi ni udhaifu wa hali ya juu.
B.M ana uhuru kikatiba kujiunga na chama chochote cha siasa.
Suala la kupewa nafasi fulani kwenye chama husika, hapo inategemeana na Falsasa & misimamo ya chama.
 
Kama unafahamu ayo tulia mgombea wenu yupo salama
 
Ona hii takataka inamshauri membe[emoji23]
 

Membe hahitaji kuwa mwanachama wa chama chochote cha upinzani, bali anataka kugombea urais kupitia upinzani. Ni wendawazimu kuamini kuwa Membe anaweza kuleta lolote jipya akiwa upinzani nje ya mbeleko ya vyombo vya dola. Kama JPM kamkata huko ccm kwenye kikao cha watu watano, na hakuna lolote alilofanya, ndio atamuweza akiwa upinzani kusiko na mbeleko ya vyombo vya dola? Kutenda kosa sio kosa, bali kurudia.
 
Hata ukikaa na wapinzani kindaki ndaki wanakubali anachofanya Rais Magufuli, ijapokuwa wanaona aibu tu kusema hadharani, wanakubali kabisa kuwa baada ya kuingia M h. Hata wao wamekuwa direct beneficiaries wa matendo yake.

Magufuli anafanya mambo ambayo yanagusa watu wote bila kuchagua, anastahili awamu nyingine.
.
 
Ona hii takataka inamshauri membe[emoji23]

Kwani membe ni nani katika dunia hii?
Wajinga kama wewe ndo unamwabudu,
Wewe unadhani membe hawezi kukosea?
Endeleeni kumdanyanya na yeye anajifanya kipofu.
 
Kwani membe ni nani katika dunia hii?
Wajinga kama wewe ndo unamwabudu,
Wewe unadhani membe hawezi kukosea?
Endeleeni kumdanyanya na yeye anajifanya kipofu.
Kama wewe unavyomwabudu magufuli na wengine wanamuita yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…