Asante sana Bernard Kammilius Membe, Una kichwa kikali na ni mzalendo wa kweli

Membe sio lazima kuvifuata vyama vya ACT,Chadema au CUF.
Kama atakuja na wimbi la watu wengi maarufu anaweza akatengeneza CCM B.tokana na vyama ambavyo havina mbunge hata mmoja.
Aende nccr
 
Kama umekula pesa za Membe ili umuuze uzirudishe hauziki kabisa, niweke historia sawa, Membe katimuliwa hajajitoa ccm
 
Mkuu tindo mpaka sasa sijasikia membe anasimamia nini, Ana falsafa gani ya kuongoza saiasa na uchumi ulioharibika?

Hajawahi andika makala kwenye gazeti, Wala journal, hajawahi kuhonjiwa na media za kitaifa na kimataifa, hajawahi andika kitabu, amezidiwa na jericho nyerere,
Hajawahi jitambulisha humu jf Kama ,.verified Member tumuhoji maswali magumu,

Huyu membe msomi anakosea wapi?
Ajitokeze tumuhoji tumpime kwanza

Ukiangali video clips za mwalimu nyerere na maachapisho yake wakati anapigania Uhuru ndo utajua ninacho maanisha
 
Mkuu tindo nilikasirika Sana Dr slaa alipoondoka CDM , nilishamsamehe lakini nimejifunza vitu vingi toka kwake,

sasa huyu membe anakuja opposition ili iweje?
 
Mkuu tindo nilikasirika Sana Dr slaa alipoondoka CDM , nilishamsamehe lakini nimejifunza vitu vingi toka kwake,

sasa huyu membe anakuja opposition ili iweje?

Sijui hata Membe katuonaje wapinzani. Nashangaa sana wapinzani wenzetu wanapompigia Membe debe, kana kwamba hatuna uwezo wowote wa kuelewa mambo. ACT wazalendo wakimchukua wao ni sawa, ila cdm wakithubutu ndio watatupoteza wafuasi wao. Wasitegemee sisi kumuunga mkono msaka madaraka kama Lowassa. Akipokelewa na kuwa mwanachama wa kawaida sawa, ila sio apewe nafasi ya kugombea urais.
 

Umewakilisha vizuri mno mawazo niliyokuwa nayo kuhusu Membe. Thanks to you mheshimiwa.
 
Mbowe atapoteza support kiduchu tunayompa
 

Uko sahihi kabisa kiongozi.
 
Chama kilichounda Mwamuzi, Mfadhili na Msimamizi wa Shughuli ya Kiserikali, ya kampeni na upigaji kura, usimamizi wa matokeo, na utangazaji matokeo, ndio kitashinda.
 
Hapo namba 2 mkuu hueleweki kabisa, arudishe kwanza hela za Walibya, pia atuombe radhi watanzania kwa unafiki wake, tangu utoto wake ni sehemu ya serikari ya ccm, kazeeka eti leo haina Demokrasia! Akafie mbele huko kivyake
 
Membe akitaka kuitikisa ccm ni kuwashawishi hawa wafuatao waende upinzani!
1.Kinana
2.Nape
3.Makamba
4.January
5.Nchimbi
6.Sofia
7.Wote waliotumbuliwa waliokuwa katika madaraka ccm itaweweseka sema muda autoshi.
 
Mkia hauwezi kutikisa Ng'ombe
Membe akitaka kuitikisa ccm ni kuwashawishi hawa wafuatao waende upinzani!
1.Kinana
2.Nape
3.Makamba
4.January
5.Nchimbi
6.Sofia
7.Wote waliotumbuliwa waliokuwa katika madaraka ccm itaweweseka sema muda autoshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…