Asante sana Bernard Kammilius Membe, Una kichwa kikali na ni mzalendo wa kweli

Watu wanataka chakula na maendeleo sio siasa safi. Hizo siasa safi peleka kwa mke wako. Magufuli ndio mwanaume.
 
Watu wanataka chakula na maendeleo sio siasa safi. Hizo siasa safi peleka kwa mke wako. Magufuli ndio mwanaume.
Hivi kuna tofauti gani ya ww na uchebe?

Chakula gani unachokisemea?
Muone sijui amekula maharage ya wapi huyu?

Mxhiewwwwwwwwww
 
This is literature diarrhea! eti Membe ni tofauti na Lowassa , hana kitu kingine zaidi ya uchu wa madaraka na kutopenda kuongozwa, kwanza hana haiba hiyo unayotaka kutuaminisha, binafsi naliona anguko kubwa la Membe kisiasa na hasa baada ya kutangwazwa matokeo ya urais, ndo hivyo ni kama kuku anavyokufa lazima arusherushe miguu kwahiyo hayo ni makeke tu kama ya kuku anayekata roho, si muda mrefu utamsikia tuliiiii....!
 
Kudai kuwa Seif alishindwa kuwa Rais huku ukifahamu juzi tu hapa Jecha (mwana ccm aliyechukua fomu ya kuomba Urais Zanzibar) aliufuta uchaguzi katika muenddelezo wa dhulma za tangu 1995 ni uwendawazimu usio mithilika.
 
Sasa ndio unapinga kuwa Seif kashindwa kuwa Rais?

Haya, niambie alikuwa lini Rais?
Kudai kuwa Seif alishindwa kuwa Rais huku ukifahamu juzi tu hapa Jecha (mwana ccm aliyechukua fomu ya kuomba Urais Zanzibar) aliufuta uchaguzi katika muenddelezo wa dhulma za tangu 1995 ni uwendawazimu usio mithilika.
 
Sasa ndio unapinga kuwa Seif kashindwa kuwa Rais?

Haya, niambie alikuwa lini Rais?
Hata hiyo kumuita Membe underdog nao ni uwendawazimu usio na mfano wakati unaelewa hata akichaguliwa kama Seif bado hatangazwi mshindi.
 
Yote sawa lakini kugombea urais kupitia upinzani ni mwiko. Membe ni wale wale tu.
 
Hawa wanamlia pesa zake sio bure
 
Membe na wewe ndio mulikuwa hamfahamu kuwa amefukuzwa lakini kwa CCM, ndio ilikuwa imeshatoka hiyo😂😂
 

Amekupa buku ngapi umuandikie haya? Naye sasa ana Lumumba yake ya kugawa buku fulani ili atinge magogoni kwa udi na uvumba.
 
Hakika huyo Membe wako yuko vizuri.

Kwamba Membe anaweza kuwa booonge la raisi na siyo Rais ni kweli kabisa ila weka vigezo vya mlinganisho.

Ati Membe Kutangaza Kujitoa "RASMI" ndani ya chama cha CCM ninyi wapenzi wa Demokrasia mmelipokea kwa furaha, ni haki yenu. Kwa vipi kujitoa "RASMI" CCM kwa Membe ni kitendo cha kidemokrasia wakati alifukuzwa kwa kuvunja moja ya misingi ya demokrasia?

Tuna safari ndefu Tanzania kuwa na wanasiasa wakweli, waadilifu na wenye fikra na vitendo vya kizalendo. Kwa mfano madai ya hicho kinachoitwa na hao wanasiasa "Demokrasia, Haki, Uhuru, Tume Huru ya Uchaguzi" kimsingi ni kutafuta njia fupi ya wao kungia madarakani. Kimsingi ni madai hayalengi kumtua mama ndoo kichwani au kifo wakati wa uzazi. Laiti wangetumia muda wao na nguvu zao za kisiasa kuibana Serikali iliyoko madarakani kutatua kero kama hiyo.

Membe atakumbukwa kwa lipi, kwa mfano huo, alipokuwa kwenye Wizara nyeti (Mambo ya Nje) iliyomweka sebuleni kwa wadau wa maendeleo kimataifa? Leo hii akiwa Rais (siyo raisi) atabadilika?[/I]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…