Hakika chama cha Chadema kimedhihirisha wazi, pasipo shaka yoyote kuwa wao ndiyo chama pekee hapa nchini chenye demokrasia thabiti.Mimi pia si Chadema ila namshukuru Jenerali Ulimwengu kwa kusema niliyotaka kuyasema, ni wakati muafaka sasa madaraka yawe mikononi mwa wananchi wenyewe pale pale walipo Kitaifa, Kimkoa, Kiwilaya, Kitarafa na Kimtaa!
Jukumu hilo linaweza kusimamiwa tu na chama imara ambacho kaulimbiu yake ni people's power kilicho tayari kutanguliza maslahi ya nchi na si maslahi ya chama kama CCM...sisi wananchi na si sisi wanachama. Pateni hii burudani kwanza!
Kamanda karibu sana ulipotea MAPAMBANO YANAENDEREAMimi pia si Chadema ila namshukuru Jenerali Ulimwengu kwa kusema niliyotaka kuyasema, ni wakati muafaka sasa madaraka yawe mikononi mwa wananchi wenyewe pale pale walipo Kitaifa, Kimkoa, Kiwilaya, Kitarafa na Kimtaa!
Jukumu hilo linaweza kusimamiwa tu na chama imara ambacho kaulimbiu yake ni people's power kilicho tayari kutanguliza maslahi ya nchi na si maslahi ya chama kama CCM...sisi wananchi na si sisi wanachama. Pateni hii burudani kwanza!
Halima na wenzake waende makamani kuweka pingamizi la huu uamuzi wa chama chao.
...Dah!... Demokrasia sio rahisi aisee.Hongera CHADEMA kwa kuonesha busara na ukomavu wa kisiasa katika siasa za Tanzania zilizojaa mikiki mikiki na ghiliba za kila aina....
Pamoja hayo iangaliwe na katiba ili iweke ukomo wa nafasi ya mwenyekiti.....ili kuleta damu changa na kuchochea ari na kasi mpya ndani ya chama....... demokrasia inaanza na wewe kabla hujaidai kwa wengine......
Pingamizi la nini nyie wanafiki, muwachukue tu huko kwenye chama chenu si nyie ndio mliwadanganya.Halima na wenzake waende makamani kuweka pingamizi la huu uamuzi wa chama chao.
Pingamizi la nini nyie wanafiki, muwachukue tu huko kwenye chama chenu si nyie ndio mliwadanganya.
Asante sana ndugu yangu, JF kwa muda sasa imekuwa kama kokoro inazoa tu...hadi chawa! Ndio maana siku hizi nafanya jitihada kubwa kukaa mbali na JF ila tatizo ni hao chawa, inanibidi kuingia hata kama ni kuwapulizia dawa.Karibu tena jukwaani mkuu
Takataka zote kama MnyetiHalima Mdee and others ,na lile jamaa lisingekufa nalo hapa duniani lingestaafu TU tungeliundia tume ya kijaji tulifungulie kesi ya JIWE and others na tiingewaweka humo kina Paulo Makonda-,polepole,Bashiru,Ali hapi,
Nimekubali mzee ulimwengu ni MOJA wa deep state, na niwachache sanaMimi pia si Chadema ila namshukuru Jenerali Ulimwengu kwa kusema niliyotaka kuyasema, ni wakati muafaka sasa madaraka yawe mikononi mwa wananchi wenyewe pale pale walipo Kitaifa, Kimkoa, Kiwilaya, Kitarafa na Kimtaa!
Jukumu hilo linaweza kusimamiwa tu na chama imara ambacho kaulimbiu yake ni people's power kilicho tayari kutanguliza maslahi ya nchi na si maslahi ya chama kama CCM...sisi wananchi na si sisi wanachama. Pateni hii burudani kwanza!
Naye tunamweka humohumo Sana TUTakataka zote kama Mnyeti