5imba kafungwa mara nne mfululizo 🤣Mm ni YANGA mechi ya leo kwa hisani ya IIbenge hatuna uwezo wa kuwafunga Al Hilal
5imba kafungwa mara nne mfululizoNi undugu au ni bah*sha? Ibenge hana ubavu wa kukataa bah*sha wakati keshafuzu!!
Wivu wa mke mkubwa usha anza anataka kila siku apigwe yeye tuHuo ndio undugu sasa. Maana sisi wenyewe tusingeweza
Game yetu ya mwisho na waarabu tushindwe wenyewe sasa. Turejesheni calculator za watu
Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
Unateseka ukiwa wapi?Huo ndio undugu sasa. Maana sisi wenyewe tusingeweza
Game yetu ya mwisho na waarabu tushindwe wenyewe sasa. Turejesheni calculator za watu
Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
Dunduka unateseka sana.Huo ndio undugu sasa. Maana sisi wenyewe tusingeweza
Game yetu ya mwisho na waarabu tushindwe wenyewe sasa. Turejesheni calculator za watu
Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
Rubbish 🚮Huo ndio undugu sasa. Maana sisi wenyewe tusingeweza
Game yetu ya mwisho na waarabu tushindwe wenyewe sasa. Turejesheni calculator za watu
Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
Wengi walikuwa wansfuatilia mechi kupitia comments za JF, hawakuiangalia kabisa ile mechiIbenge hii ndio mechi katumia nguvu kuliko zote nadhani alitaka kulipa fadhira ya kualikwa mkutanoni kwa mangungu