Asante sana Ibenge kwa ushindi wa Yanga SC

Asante sana Ibenge kwa ushindi wa Yanga SC

1. Yanga ikifungwa;
Hawajui soka
timu haichezi kitimu
Kila mchezaji anajichezea ajuwavyo
Yanga ni mbovu jamani

2. Yanga ikishinda
Bahasha
tiGo pesa a.k.a mixx by yas
Marefa wamehongwa
GSM anadhamini timu nyingi
wale ni tawi la Yanga
Hawa si wale wa zamani
Asante Ibenge
Huu ndiyo undugu
Yanga kalyukulyetaaa...
etc..

We Muite, Ulichokiandika ni muendelezo tu wa umbumbumbu, ungada, udunduka na umakolo wenu wa kila Yanga inaposhinda.
SAFI KABHISA!
 
Back
Top Bottom