Asante sana Mbowe, umeibeba CHADEMA hadi sasa imekua. Kapumzike

Hatutakubali Astaafu, uzuri kasema atakabidhi kwa mwenye uwezo na sisi Chadema kufikia Mwaka 2023, hatuoni wa kuvaa viatu vyake hivyo tutamlazimisha na hataweza kukataa.
Heche akipikwa anaweza, ili Mbowe abaki kuwa mlezi na mshauri, yafaa amalize uongozi wake akiwa bado ana mvuto sio hadi aharibu
 
CHADEMA BADO ITAMUHITAJI KWA "MONITORING'!
... napendekeza abakie kama 'kiongozi mkuu' kwa maisha yake yaliyobaki, yaani apunguze tu majukumu yanayohitaji nguvu nyingi lakini aendelee kuwa ÁKILI YA CHAMA'!
Akili ya chama MTEI, Mbowe ni anakinga bakuli tu ruzuku then wanagawana huko Machame
 
CHADEMA ina mbunge mmoja halafu unatuambia imekua ! Hauko serious
 
Mwenyekiti Mbowe ameona kukaribia kuzikwa kwa Chadema mwaka 2025 baada uchaguzi mkuu na kudai atastaafu uwenyekiti na si siasa !

Kwa hiyo Freeman Mbowe anajipanga kugombea urais au ubunge uchaguzi mkuu ujao ?
 
2023? Mbona mbali? Kuweni na huruma jameni. Mbowe alikuwa Mwenyekiti tangu Mwenyekiti mwenza CCM alikuwa Nyerere, akaja Mwinyi, yumo. Kaja Ben W Mkapa, yupo tu. Then nkwere, yupo. Hadi Samia? Yupo. No no no no, this is too much. Please do us a favour, toka kesho.
 
Wewe endelea kuramba miguuu ya Bashite
 
Mwenyekiti Mbowe ameona kukaribia kuzikwa kwa Chadema mwaka 2025 baada uchaguzi mkuu na kudai atastaafu uwenyekiti na si siasa !

Kwa hiyo Freeman Mbowe anajipanga kugombea urais au ubunge uchaguzi mkuu ujao ?
Kazikwa jiwe
 
Hatutakubali Astaafu, uzuri kasema atakabidhi kwa mwenye uwezo na sisi Chadema kufikia Mwaka 2023, hatuoni wa kuvaa viatu vyake hivyo tutamlazimisha na hataweza kukataa.
Akifa mtafanyaje? acheni akili za kipuuzi
 
Kwani mtoto wa kwanza wa Mbowe ana umri gani? Maana najua Uenyekiti hauwezi kwenda nje ya familia
 
Kwani zamu ya kulinda kaburi umemuwachia nani leo?
 
... Mwenyekiti bora kabisa wa chama cha siasa barani Afrika, Mh. Freeman Aikaeli Mbowe, anapumzika. Hongera sana kwake Mwamba wa siasa za Afrika.
Mwenyekiti wa kwanza Duniani wa Chama Cha Siasa asiye na shule. Hongera sana kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…