Asante sana Rais Samia kwa mabadiliko haya madogo ya uongozi katika Serikali Kuu, watanzania wote wamekupenda zaidi, wanakushukuru na kukuamini zaidi

Umeandika Nini tena upuuzi
uleule

Hivi kama wew ni me unaweza tunza mke na watoto kwa akili hizi za kixhawa
 
Bado yule waziri wa msimbazi nyekundu
 
Hataleo hii wakirudishwa hili Bumunda litasifia vilevile
political upsidedown and mistakes is an opportunity kwa patriots kama mimi...

habari ya jealous, mihmko, wivu, ghadhabu, hasira mmbaki navyo mlio na uelewa na ufahamu usiotosheleza kwenye masuala haya muhimu ya kisiasa...

hata hivyo,
ni vuzuri kufanya mazoezi ya kusoma bandiko zima ili upate uelewa mpana na mzuri zaid juu ya hoja mezani πŸ’
 
Ku reshuffle cabinet ni kitu Cha kawaida tu. Tungemwona mama yenu yuko serious ange mfukuza mwigulu na bashe kwa kashfa ya sukari
hilo haliwezekani kwasababu tu ya chuki zako binafsi...

hakuna kafsha kwenye sukari Tanzania,

na wala Dr.Samia Suluhu Hassan hawezi kuacha kufanya mambo ya maendeleo kwajili ya waTanzania aanze kudeal na uzushi na uongo tena, unaoibuliwa kwa chuki na hasira binafsi kutokana na reshuffle hizi hizi kwenye Serikali kuu πŸ’
 
Mm nimekasirika na namuonea huruma Samia, maana hatoboi 2025
suala la kutoboa ni vizur ukabaki nalo huko huko kwenye chama chako gentleman πŸ’

jambo la maana na muhimu sana tu ni kwamba, Dr. Samia Suluhu Hassan ni kipenzi cha waTanzania nchi nzima.

anakubalika sana aise dah, anapendwa na kuaminika mno kwa wananchi wa makundi yote nchini Tanzania πŸ’

kwenye Uchaguzi mkuu ujao anaweza kupata zaidi ya 95% ya kura za urais, na hiyo ni kwa uchache tu πŸ’
 
Una kichwa kigumu kunielewa itakuwa ngumu

Kuna upotevu wa 1.7 tril Bot
Kuna kashfa ya vibali vya sukari

Ushahidi uko peupe kabisa. alafu hii mbuzi innakuja hapa kubishana tu
 
Una kichwa kigumu kunielewa itakuwa ngumu

Kuna upotevu wa 1.7 tril Bot
Kuna kashfa ya vibali vya sukari

Ushahidi uko peupe kabisa. alafu hii mbuzi innakuja hapa kubishana tu
hilo la sukari nadhani ungelitoa akilini mwako kwasabb halipo πŸ’

mambo mengine ya msingi,
kama ilivyo kawaida ya Serikali sikivu ya CCM, inayachukulia kwa uzito mkubwa na inayashugulikia kimkakati, kwa umakini mkubwa sana kwa maslahi mapana ya Taifa πŸ’

so,
relax gentleman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…