Asante sana Rais Samia kwa mabadiliko haya madogo ya uongozi katika Serikali Kuu, watanzania wote wamekupenda zaidi, wanakushukuru na kukuamini zaidi

Asante sana Rais Samia kwa mabadiliko haya madogo ya uongozi katika Serikali Kuu, watanzania wote wamekupenda zaidi, wanakushukuru na kukuamini zaidi

actually,
wenye matatizo ya afya ya akili ndio pekee hukumbwa na mihemko, ghadhabu, hasira na hubababika na nini cha kukoment wanapokutana na hoja nzito na ya maana kama iliyoko mezani 🐒

hata hivyo tupo pamoja haka kama uko hivyo ulivyo, wewe ni mTanzania mwenzetu 🐒
Umeandika Nini tena upuuzi
uleule

Hivi kama wew ni me unaweza tunza mke na watoto kwa akili hizi za kixhawa
 
Rais Samia Suluhu Hassan, Rais na kipenzi cha waTanzania uongozini.

Mwenyezi Mungu azidi kukujaalia afya njema, bidii, ubunifu na nguvu tele katika kuongoza nchi yetu Tanzania..

Hamasa na ushawishi wako kwa vitendo baada ya kufanya mageuzi na mabadiliko kidogo katika uongozi wa Serikali yako kuu, waTanzania kwa mamilioni yao, wamekupongeza sana, na kukushukuru mno, kwani dhamira na nia yako njema ya kuwaletea wanainchi maendeleo imedhihirika bayana...

Hamasa ya kukupenda na kukuamini imeongezea mara dufu matarajio yao kwao ni makubwa mno kisiasa kijamii na kiuchumi..

Inafahamika, inaaminika na inaonekana tena mchana kweupeee, kila pembe ya nchi Dr.Samia Suluhu Hassan una pendwa na unakubalika bila kificho kwa maneno na matendo yako, katika kazi za maendeleo..

Hakiwezekani mtu aje aseme hadharani, ati hata kama hamumpendi huyo ndio Rais wenu, hiyo ni dharau kubwa sana japo kwa hekima na busara ulichelewa kuchukua hatu.

Lakini pia, Mh. Rais usiku na mchana uko kazini kuhakikisha taasisi zetu mathalani zinazohusu kusimamia chaguzi zinakua imara na zina aminika kwa wananchi, na kwamba hata chaguzi zetu zote zinaaminika zinakua huru, wazi na za haki na waTanzania wanahamasika kupiga kura.

Halafu mtu mwingine anakuja kudhoofisha jitihada hizi kubwa kirahisi tu, za mh.Rais kurejesha imani za waTanzania kwenye taasisi zao.. eti bao la mkono 🐒

Hapana, Hii si sawa na haipendezi. Kuna aina za matani tunapokua kazini ni hujuma. na dhamira yake ni kubomoa au kuidhoofisha kazi muhimu za Kuwaleta waTanzania pamoja na kuamininiana. madaraka ya kulevya ni ulevi mbaya sana🐒

waTanzania wako pamoja nawe mh.Rais Dr.Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania

Pia soma
- Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Bado yule waziri wa msimbazi nyekundu
 
Hataleo hii wakirudishwa hili Bumunda litasifia vilevile
political upsidedown and mistakes is an opportunity kwa patriots kama mimi...

habari ya jealous, mihmko, wivu, ghadhabu, hasira mmbaki navyo mlio na uelewa na ufahamu usiotosheleza kwenye masuala haya muhimu ya kisiasa...

hata hivyo,
ni vuzuri kufanya mazoezi ya kusoma bandiko zima ili upate uelewa mpana na mzuri zaid juu ya hoja mezani 🐒
 
Ku reshuffle cabinet ni kitu Cha kawaida tu. Tungemwona mama yenu yuko serious ange mfukuza mwigulu na bashe kwa kashfa ya sukari
hilo haliwezekani kwasababu tu ya chuki zako binafsi...

hakuna kafsha kwenye sukari Tanzania,

na wala Dr.Samia Suluhu Hassan hawezi kuacha kufanya mambo ya maendeleo kwajili ya waTanzania aanze kudeal na uzushi na uongo tena, unaoibuliwa kwa chuki na hasira binafsi kutokana na reshuffle hizi hizi kwenye Serikali kuu 🐒
 
Mm nimekasirika na namuonea huruma Samia, maana hatoboi 2025
suala la kutoboa ni vizur ukabaki nalo huko huko kwenye chama chako gentleman 🐒

jambo la maana na muhimu sana tu ni kwamba, Dr. Samia Suluhu Hassan ni kipenzi cha waTanzania nchi nzima.

anakubalika sana aise dah, anapendwa na kuaminika mno kwa wananchi wa makundi yote nchini Tanzania 🐒

kwenye Uchaguzi mkuu ujao anaweza kupata zaidi ya 95% ya kura za urais, na hiyo ni kwa uchache tu 🐒
 
hilo haliwezekani kwasababu tu ya chuki zako binafsi...

hakuna kafsha kwenye sukari Tanzania,

na wala Dr.Samia Suluhu Hassan hawezi kuacha kufanya mambo ya maendeleo kwajili ya waTanzania aanze kudeal na uzushi na uongo tena, unaoibuliwa kwa chuki na hasira binafsi kutokana na reshuffle hizi hizi kwenye Serikali kuu 🐒
Una kichwa kigumu kunielewa itakuwa ngumu

Kuna upotevu wa 1.7 tril Bot
Kuna kashfa ya vibali vya sukari

Ushahidi uko peupe kabisa. alafu hii mbuzi innakuja hapa kubishana tu
 
Una kichwa kigumu kunielewa itakuwa ngumu

Kuna upotevu wa 1.7 tril Bot
Kuna kashfa ya vibali vya sukari

Ushahidi uko peupe kabisa. alafu hii mbuzi innakuja hapa kubishana tu
hilo la sukari nadhani ungelitoa akilini mwako kwasabb halipo 🐒

mambo mengine ya msingi,
kama ilivyo kawaida ya Serikali sikivu ya CCM, inayachukulia kwa uzito mkubwa na inayashugulikia kimkakati, kwa umakini mkubwa sana kwa maslahi mapana ya Taifa 🐒

so,
relax gentleman
 
Back
Top Bottom