Asante sana Rais Samia kwa mabadiliko haya madogo ya uongozi katika Serikali Kuu, watanzania wote wamekupenda zaidi, wanakushukuru na kukuamini zaidi

Mkuu mama amekasirika amechukua fagio anafagia takataka zotee
mama hua hafanyi maamuzi akiwa amekasirika..

na kama amekasirika bas mpka kwanza arilax, hasira zitulie, ajifomat upya ndipo sasa anachukua hatua, wakati hata wewe mwenye mistake unadhani mama kasahau au kaichukulia poa mistake yako πŸ’
 

Onyesha sehemu ulipomshauri afanye haya mabadiriko nitakuona sio mnafiki.. kama hakuna wewe ni mnafiki na mzandiki.
 
Homa ya 2025 inaitafuna nchi.
hivi kweli gentleman,
hata ukiangalia na kupima vuzuri bila mihememko, ndani na nje ya CCM kuna wa kumchalenge kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan?πŸ’

akitokea atakua adui namba moja wa waTanzania, atakataliwa popote Tanzania kwa aibu na fedhaha kuu...
 
haha!
 
Kwa Rais hakuna but the rest itabidi kauli ya Nape itumike.
 
Sasa hiyo sio Demokrasia,wacha sanduku la kura liamue.Usiwe msemaji wa Watanzania bila ridhaa yao.
 
Onyesha sehemu ulipomshauri afanye haya mabadiriko nitakuona sio mnafiki.. kama hakuna wewe ni mnafiki na mzandiki.
mimi pamoja na mamilioni ya waTanzania wenzangu tumemshauri mambo mengi sana muhimu kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan ikiwa ni pamoja na kumshawishi agombee tena Urais Uchaguzi mkuu 2025..

ingawa hajajibu bado kwasabb za kikanuni ccm, kisheria na kikatiba, lakini umeona makundi mbalimbali ya kimchangia fedha kwa ajili ya fomu ya urais....

bilashaka,
kwa wakati muafaka ataridhia matamanio haya ya waTanzania kwa yeye kuendelea kuhudumu kwenye nafasi ya urais wa Tanzania...

Jambo lingine,
mimi na mamilioni ya waTanzania wengine tumemshauri Rais kwamba kuna haja ya makusudi kuongeza wigo wa ukusanyaji mapato ya kodi tozo na ushuru, na kwa hivyo ni wakati muafaka kuwasajili na kuwarasimisha walipakodi wapya Tanzania kutoka million 2 waliopo, hadi million 20, 2025..
Bilashaka umeona hatua alizoanzisha TRA...

nakadhalika nakadhalika πŸ’
 
Sasa hiyo sio Demokrasia,wacha sanduku la kura liamue.Usiwe msemaji wa Watanzania bila ridhaa yao.
kukataliwa kwa namna yoyote ile ni Demokrasia pia gentleman πŸ’

na usijiskie vibaya huenda ukakubalika baada πŸ’
 
kukataliwa kwa namna yoyote ile ni Demokrasia pia gentleman πŸ’

na usijiskie vibaya huenda ukakubalika baada πŸ’
Shida Machawa wengi wanafki.Hapa unampongeza Samia kufanya utenguzi akiwemo Nape kwa kauli yake.

Cha kushangaza unasema atakae mpinga mama ni adui wa watamzania.Yaani umetoa kinyesi mkono wa kushoto umeweka mkono wako wa kulia.

Shame on you Chawa.
 
Kwa Rais hakuna but the rest itabidi kauli ya Nape itumike.
Dr.Samia Suluhu Hassan amedhamiria kwa dhati ya moyo wake amedhamiria kuleta mageuzi ya kifikra na kimtazamo tena kwa vitendo kwamba chaguzi zote Tanzania zitafanyika kwa usawa, haki, uhuru na uwazi sio kulingana na kauli ya mtu taasisi au kikundi cha watu πŸ’
 
Shida Machawa wengi wanafki.Hapa unampongeza Samia kufanya utenguzi akiwemo Nape kwa kauli yake.

Cha kushangaza unasema atakae mpinga mama ni adui wa watamzania.Yaani umetoa kinyesi mkono wa kushoto umeweka mkono wako wa kulia.

Shame on you Chawa.
hiyo ni fact,
ni wazi iko kwenye public domain na sio ati inafanyiika usiku. waTanzania wanaona wanaotaka kumchalenge mama ni sawa na ambao hawapendi wananchi wapate maendeleo πŸ’

khaa sasa wananchi hawakutaki wanamtaka mama Dr Samia Suluhu Hassan, wewe unakasirika, itasaidia nini sasa 🀣
 
Hii ID imejawa na upumbavu mwingi sana, hii ni beyond uchawa na sijui mnaipa jina gani.
moyo unaumia kwa ndraani right?🀣

jambo la maana sana liko kwenye hoja ya msingi, ukitaka jifunze ukiendekeza uvivu mihememko, chuki na ghadhabu dhidi yangu, kama inakusaidia komaa nayo utatoboa gentleman...

but to me that is useless and nonsense πŸ’
 
Wapi watanzania wamesema wanamtaka mama samia?
 
Ndio chawa walivyo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
unaelewa gentleman kwa siasa kuna kitu inaitwa political dynamics by mistakes, blunders or normal changes πŸ’

Rais JK huita ni ajali ya kisiasa, hasa kipindi kile hayati Lowasa amejiuzulu ..

so,
hakuna habari ya kusifia wala kuabudu hapa ni ukweli na uwazi bila mihememko, upende usipende πŸ’
 
Mafisadi wepi aliochukulia hatua,acheni kutuchokoza.CAG kaibua mafisadi wangapi,many,lakini hakuna hatua yeyote inayochukuliwa.Ni upigaji tu sasa kila sehemu,shameful indeed.

You see how irrational you people are,Nape alichosema ni the truth and the whole truth,yeye kasema what we already knew,lakini eti kawajibishwa.So mlitaka wananchi wasijue uovu wenu,poleni,kila mtu kajua sasa,hata the unsuspecting.
 
Umekuja Tena kivingine wewe chawa!! Juzi kati hapa ulikuwa unawapigia debe hao watenguliwa
mimi huwa sijivungi wala kujizuia kusema ukweli πŸ’

nimemueleza mwenzio,
katika siasa political dynamics kwasabb za personal mistakes na blunders kama mwanasiasa unaweza kukutana na upsidedown za hapa na pale....

na kw mwanasiasa makini na msomi kwanwaliotenguliwa sidhani wanaweza kaichukulia hiyo kama political setback bali oportunity ya kuketi chini kusahihisha mambo na kusonga mbele ili hatimae kwa wakati muafaka kuna na comeback heavy zaidi πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…