Asante sana Rais Samia kwa mabadiliko haya madogo ya uongozi katika Serikali Kuu, watanzania wote wamekupenda zaidi, wanakushukuru na kukuamini zaidi

Asante sana Rais Samia kwa mabadiliko haya madogo ya uongozi katika Serikali Kuu, watanzania wote wamekupenda zaidi, wanakushukuru na kukuamini zaidi

Mkuu mama amekasirika amechukua fagio anafagia takataka zotee
mama hua hafanyi maamuzi akiwa amekasirika..

na kama amekasirika bas mpka kwanza arilax, hasira zitulie, ajifomat upya ndipo sasa anachukua hatua, wakati hata wewe mwenye mistake unadhani mama kasahau au kaichukulia poa mistake yako 🐒
 
Rais Samia Suluhu Hassan, Rais na kipenzi cha waTanzania uongozini.

Mwenyezi Mungu azidi kukujaalia afya njema, bidii, ubunifu na nguvu tele katika kuongoza nchi yetu Tanzania..

Hamasa na ushawishi wako kwa vitendo baada ya kufanya mageuzi na mabadiliko kidogo katika uongozi wa Serikali yako kuu, waTanzania kwa mamilioni yao, wamekupongeza sana, na kukushukuru mno, kwani dhamira na nia yako njema ya kuwaletea wanainchi maendeleo imedhihirika bayana...

Hamasa ya kukupenda na kukuamini imeongezea mara dufu matarajio yao kwao ni makubwa mno kisiasa kijamii na kiuchumi..

Inafahamika, inaaminika na inaonekana tena mchana kweupeee, kila pembe ya nchi Dr.Samia Suluhu Hassan una pendwa na unakubalika bila kificho kwa maneno na matendo yako, katika kazi za maendeleo..

Hakiwezekani mtu aje aseme hadharani, ati hata kama hamumpendi huyo ndio Rais wenu, hiyo ni dharau kubwa sana japo kwa hekima na busara ulichelewa kuchukua hatu.

Lakini pia, Mh. Rais usiku na mchana uko kazini kuhakikisha taasisi zetu mathalani zinazohusu kusimamia chaguzi zinakua imara na zina aminika kwa wananchi, na kwamba hata chaguzi zetu zote zinaaminika zinakua huru, wazi na za haki na waTanzania wanahamasika kupiga kura.

Halafu mtu mwingine anakuja kudhoofisha jitihada hizi kubwa kirahisi tu, za mh.Rais kurejesha imani za waTanzania kwenye taasisi zao.. eti bao la mkono 🐒

Hapana, Hii si sawa na haipendezi. Kuna aina za matani tunapokua kazini ni hujuma. na dhamira yake ni kubomoa au kuidhoofisha kazi muhimu za Kuwaleta waTanzania pamoja na kuamininiana. madaraka ya kulevya ni ulevi mbaya sana🐒

waTanzania wako pamoja nawe mh.Rais Dr.Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania

Pia soma
- Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Onyesha sehemu ulipomshauri afanye haya mabadiriko nitakuona sio mnafiki.. kama hakuna wewe ni mnafiki na mzandiki.
 
Homa ya 2025 inaitafuna nchi.
hivi kweli gentleman,
hata ukiangalia na kupima vuzuri bila mihememko, ndani na nje ya CCM kuna wa kumchalenge kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan?🐒

akitokea atakua adui namba moja wa waTanzania, atakataliwa popote Tanzania kwa aibu na fedhaha kuu...
 
kuna mwenzako mwenye tatizo la Afya ya akili kama wewe huku jimboni aliwahi kuleta za kuleta pamoja na tatizo lake lakini nilimshikisha adabu naona sasa hivi anaendelea vuzuri,

kumbe dawa yenu ni makwenzi na makofi tu akili zinawakaa sawaa 🤣

ñjoo jimboni tu,
tena wewe tatizo lako lilivyokubwa hivyo nakukabidhi kwa wananchi tu ili upone haraka
haha!
 
hivi kweli gentleman,
hata ukiangalia na kupima vuzuri bila mihememko, ndani na nje ya CCM kuna wa kumchalenge kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan?🐒

akitokea atakua adui namba moja wa waTanzania, atakataliwa popote Tanzania kwa aibu na fedhaha kuu...
Kwa Rais hakuna but the rest itabidi kauli ya Nape itumike.
 
Sasa hiyo sio Demokrasia,wacha sanduku la kura liamue.Usiwe msemaji wa Watanzania bila ridhaa yao.
 
Onyesha sehemu ulipomshauri afanye haya mabadiriko nitakuona sio mnafiki.. kama hakuna wewe ni mnafiki na mzandiki.
mimi pamoja na mamilioni ya waTanzania wenzangu tumemshauri mambo mengi sana muhimu kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan ikiwa ni pamoja na kumshawishi agombee tena Urais Uchaguzi mkuu 2025..

ingawa hajajibu bado kwasabb za kikanuni ccm, kisheria na kikatiba, lakini umeona makundi mbalimbali ya kimchangia fedha kwa ajili ya fomu ya urais....

bilashaka,
kwa wakati muafaka ataridhia matamanio haya ya waTanzania kwa yeye kuendelea kuhudumu kwenye nafasi ya urais wa Tanzania...

Jambo lingine,
mimi na mamilioni ya waTanzania wengine tumemshauri Rais kwamba kuna haja ya makusudi kuongeza wigo wa ukusanyaji mapato ya kodi tozo na ushuru, na kwa hivyo ni wakati muafaka kuwasajili na kuwarasimisha walipakodi wapya Tanzania kutoka million 2 waliopo, hadi million 20, 2025..
Bilashaka umeona hatua alizoanzisha TRA...

nakadhalika nakadhalika 🐒
 
kukataliwa kwa namna yoyote ile ni Demokrasia pia gentleman 🐒

na usijiskie vibaya huenda ukakubalika baada 🐒
Shida Machawa wengi wanafki.Hapa unampongeza Samia kufanya utenguzi akiwemo Nape kwa kauli yake.

Cha kushangaza unasema atakae mpinga mama ni adui wa watamzania.Yaani umetoa kinyesi mkono wa kushoto umeweka mkono wako wa kulia.

Shame on you Chawa.
 
Kwa Rais hakuna but the rest itabidi kauli ya Nape itumike.
Dr.Samia Suluhu Hassan amedhamiria kwa dhati ya moyo wake amedhamiria kuleta mageuzi ya kifikra na kimtazamo tena kwa vitendo kwamba chaguzi zote Tanzania zitafanyika kwa usawa, haki, uhuru na uwazi sio kulingana na kauli ya mtu taasisi au kikundi cha watu 🐒
 
Shida Machawa wengi wanafki.Hapa unampongeza Samia kufanya utenguzi akiwemo Nape kwa kauli yake.

Cha kushangaza unasema atakae mpinga mama ni adui wa watamzania.Yaani umetoa kinyesi mkono wa kushoto umeweka mkono wako wa kulia.

Shame on you Chawa.
hiyo ni fact,
ni wazi iko kwenye public domain na sio ati inafanyiika usiku. waTanzania wanaona wanaotaka kumchalenge mama ni sawa na ambao hawapendi wananchi wapate maendeleo 🐒

khaa sasa wananchi hawakutaki wanamtaka mama Dr Samia Suluhu Hassan, wewe unakasirika, itasaidia nini sasa 🤣
 
Hii ID imejawa na upumbavu mwingi sana, hii ni beyond uchawa na sijui mnaipa jina gani.
moyo unaumia kwa ndraani right?🤣

jambo la maana sana liko kwenye hoja ya msingi, ukitaka jifunze ukiendekeza uvivu mihememko, chuki na ghadhabu dhidi yangu, kama inakusaidia komaa nayo utatoboa gentleman...

but to me that is useless and nonsense 🐒
 
hiyo ni fact,
ni wazi iko kwenye public domain na sio ati inafanyiika usiku. waTanzania wanaona wanaotaka kumchalenge mama ni sawa na ambao hawapendi wananchi wapate maendeleo 🐒

khaa sasa wananchi hawakutaki wanamtaka mama Dr Samia Suluhu Hassan, wewe unakasirika, itasaidia nini sasa 🤣
Wapi watanzania wamesema wanamtaka mama samia?
 
Ndio chawa walivyo 😀 😀 😀
unaelewa gentleman kwa siasa kuna kitu inaitwa political dynamics by mistakes, blunders or normal changes 🐒

Rais JK huita ni ajali ya kisiasa, hasa kipindi kile hayati Lowasa amejiuzulu ..

so,
hakuna habari ya kusifia wala kuabudu hapa ni ukweli na uwazi bila mihememko, upende usipende 🐒
 
relax bas gentleman,

punguza mihememko punguza makasiriko kidogo, inauma sana.
hayupo mTanzania yeyote anaefurahia ufisadi au uonevu na uporaji wa mali za umma na haki za wanyonge 🐒

kushughulika na mambo haya kwa hisia, hasira na ghadabu matokeo yake utaharibu nchi na kupata fedhaha mbeleni 🐒

jimboni kwangu siwezi kuruhusu ufisadi au ubadhirifu wa aina yoyote kutokea.

Shukrani za kipekee ni kwa Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyochukua hatua kukabiliana na ufisadi lakini zaidi sana kushughulika na mambo mengine muhimu ya Maendeleo kwa waTanzania 🐒
Mafisadi wepi aliochukulia hatua,acheni kutuchokoza.CAG kaibua mafisadi wangapi,many,lakini hakuna hatua yeyote inayochukuliwa.Ni upigaji tu sasa kila sehemu,shameful indeed.

You see how irrational you people are,Nape alichosema ni the truth and the whole truth,yeye kasema what we already knew,lakini eti kawajibishwa.So mlitaka wananchi wasijue uovu wenu,poleni,kila mtu kajua sasa,hata the unsuspecting.
 
Umekuja Tena kivingine wewe chawa!! Juzi kati hapa ulikuwa unawapigia debe hao watenguliwa
mimi huwa sijivungi wala kujizuia kusema ukweli 🐒

nimemueleza mwenzio,
katika siasa political dynamics kwasabb za personal mistakes na blunders kama mwanasiasa unaweza kukutana na upsidedown za hapa na pale....

na kw mwanasiasa makini na msomi kwanwaliotenguliwa sidhani wanaweza kaichukulia hiyo kama political setback bali oportunity ya kuketi chini kusahihisha mambo na kusonga mbele ili hatimae kwa wakati muafaka kuna na comeback heavy zaidi 🐒
 
Back
Top Bottom