majivuno, kujipa umuhimu usiostahili, mazoea katika kazi na ulevi wa vyeo na madaraka dhidi ya taasisi zenye wivu kupindukia kiasili, ni hatari sana kwa maisha ya vijana kisiasa..
ni muhimu kujifunza kua na kiasi, kujizuia, kujidhibiti, kutosheka na kuridhika na mipaka ya uhuru wa dhamana za umma tunazopewa π