Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #121
majivuno, kujipa umuhimu usiostahili, mazoea katika kazi na ulevi wa vyeo na madaraka dhidi ya taasisi zenye wivu kupindukia kiasili, ni hatari sana kwa maisha ya vijana kisiasa..Nimekuelewa kiongozi ila tutambue sisi sote kwamba Yote haya tunayajadili kuhusu Nape na January kutumbuliwa chanzo chale ni kiburi na ujinga tu.
ni muhimu kujifunza kua na kiasi, kujizuia, kujidhibiti, kutosheka na kuridhika na mipaka ya uhuru wa dhamana za umma tunazopewa 🐒